victorshalom
Member
- May 26, 2013
- 33
- 5
ha,ha,haa,haaaa. mkuu huyu siyo my wife wangu but; ananikosha, ananisuuza, ananinamaliza na kisauti chake kile, na vimacho vyake mmmh! naomba basi msimtaje eti!
Tyta hayupo natake pose sasa hivi tu, then kesho atakuwepo ofisini. Huyu hapa kamuntu!!
Alikuwepo kwenye birthay yangu huyu.
Hili toto lilimchanganya mpaka Mkuu wa Kaya (JK). Ilibidi Mkuu aseme, nanukuu: "mbona huonekani wewe?ukija Dar tutafutane"...Kweli siku hiyo ndo niliamini "jamaa" ni mtu wa toto's.
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
nakushaur habar hz uwe unazpeleka jukwaa la udaku hazitusaidii zaid ya kuleta majungu na fitinaHuyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
Kumbe ww ni mtoto wa nyumbni,chakula kwa baba na mama
Huyo ni dada katika Yesu. Amen!yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
Huyo ni dada katika Yesu. Amen!
kwani wengine ni wake wa wanyama?Jamani mke wa mtu huyo acheni utoto wakuu
Nadhani ndiye mtangazaji anayetangaza vizuri kuliko wote kwa upande wa watangazaji wa kike Tanzania. Kama kungekuwa na tuzo za watangazaji mahiri tanzania kwenye category ya mtangazaji bora mwanamke wa mwaka angechukua zaidi ya mara moja. Hakuna kama yeye tz kwa sasa, wengine watasubiri sana, mleta mada kama mmekwazana sehemu hiyo ni ishu binafsi wala haimpunguzii credibility. Pole sana.
Ukisoma post nyingi za watu hapo juu naona wanamsifia uzuri wake na si utangazaji wake, kama tutashindanisha Mtangazaji bora wa kike huyu Kamuntu bado sana.
Kwanza kabisa ndugu ibeGENDA, huyu dada mpe heshima yake anayostahili. Anaitwa Yvona Raymund Kamuntu, na sio kama ulivyoandika bila kuweka rymund. Ni mke wa Raymund Nyamihula jamani! Anaweza kuonekana kama anaringa kwa sababu zifuatazo: (1) Ni dada nadhifu sana kwenye mavazi anayejua kumechisha nguo na umbo lake. Mimi binafsi ananivutia sana kwa hiloHuyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!