Ivona Kamutu wa Star tv

Ivona Kamutu wa Star tv

ha,ha,haa,haaaa. mkuu huyu siyo my wife wangu but; ananikosha, ananisuuza, ananinamaliza na kisauti chake kile, na vimacho vyake mmmh! naomba basi msimtaje eti!

Kwa hiyo 'anakubariki sana?'
 
Hili toto lilimchanganya mpaka Mkuu wa Kaya (JK). Ilibidi Mkuu aseme, nanukuu: "mbona huonekani wewe?ukija Dar tutafutane"...Kweli siku hiyo ndo niliamini "jamaa" ni mtu wa toto's.

hahahahaaa mkuu umenikumbusha nakumbuka aliongea hvyo makambako alikua anagawa bajaj kwa mlemavu
 
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!

Kumbe ww ni mtoto wa nyumbni,chakula kwa baba na mama
 
picha pliz
Z

2Q==
 
Namkubal sana
She has an African Figure pia ana uzur Natural
Wsh angekewa wangu.
 
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
Huyo ni dada katika Yesu. Amen!
 
Nadhani ndiye mtangazaji anayetangaza vizuri kuliko wote kwa upande wa watangazaji wa kike Tanzania. Kama kungekuwa na tuzo za watangazaji mahiri tanzania kwenye category ya mtangazaji bora mwanamke wa mwaka angechukua zaidi ya mara moja. Hakuna kama yeye tz kwa sasa, wengine watasubiri sana, mleta mada kama mmekwazana sehemu hiyo ni ishu binafsi wala haimpunguzii credibility. Pole sana.
 
Ukisoma post nyingi za watu hapo juu naona wanamsifia uzuri wake na si utangazaji wake, kama tutashindanisha Mtangazaji bora wa kike huyu Kamuntu bado sana.
 
Ukisoma post nyingi za watu hapo juu naona wanamsifia uzuri wake na si utangazaji wake, kama tutashindanisha Mtangazaji bora wa kike huyu Kamuntu bado sana.

Subirini kukiwa na mabadiliko kwa wakuu wa Wilaya naye atakuwa mmojawapo! Mtaniambia
 
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
Kwanza kabisa ndugu ibeGENDA, huyu dada mpe heshima yake anayostahili. Anaitwa Yvona Raymund Kamuntu, na sio kama ulivyoandika bila kuweka rymund. Ni mke wa Raymund Nyamihula jamani! Anaweza kuonekana kama anaringa kwa sababu zifuatazo: (1) Ni dada nadhifu sana kwenye mavazi anayejua kumechisha nguo na umbo lake. Mimi binafsi ananivutia sana kwa hilo
 
Last edited by a moderator:
Mimi namkubali zaidi Saaaam Mahelaaaaaa Itviiiiiiiiiiiiiiii

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ananibariki sana,huwa sibadili chanel awapo kwenye screen
 
Back
Top Bottom