Ivory Coast kuendelea kuisifu na kuiabudu Morocco ni upuuzi uliopitiliza

Ivory Coast kuendelea kuisifu na kuiabudu Morocco ni upuuzi uliopitiliza

Usichoelewa ni nini? Taifa kama Morocco haliwezi kukubali kufungwa kizembe kisa wanatimiza ratiba. Kila mechi kwao ni must win maana wameshajiwekea status ambayo lazima wailinde.

Na kwenye mpira hakuna huo uadui unaosema, ikitokea matokeo yangu yamekunufaisha au kukuumiza fresh tu, huo ndiyo mpira ulivyo.
Kolo huna akili na kichwa chako ni kizito sana, au we ndio mangungu?
 
Nilijua tu huu uzi umeuleta kwa misingi ya chuki ya Uafrika na Uarabu,acha ubaguzi hauwezi kukufikisha popote,prejudice is a chain,itakuhold maisha yako yote na hutaweza kumove on,

Kwa hivo Ivory coast wangekua na bendera ya taifa la watu weusi wewe ungeona ni sawa tu? Punguza chuki za kijinga kijana,

Mbona kuna watu wapo Kongo huko ila wanashabikia Argentina? Watu wapo Bongo ila wanashabikia England au taifa lolote la Europe au Amerika?

Kwanza Wewe unaonekana wala sio mtu wa mpira.
Uko off sana sina cha kukusaidia
 
Mi mwenyewe nilitaka Moroco ashinde Ile game na ivory aende mbele ikawa ilivyokuwa na kombe wamebeba
Viva kwao ila kombe 2027 wabebe ndugu zetu Cape Verde
 
Uko off sana sina cha kukusaidia
Unisaidie nini sasa wakati haya matapishi uliyoyaandika hapa yanaendeshwa na chuki yako ya rangi ya ngozi na chuki ya udini? Wewe ndio unatakiwa ujisaidie na kuacha hizo chuki za kipumbavu.
 
Umejichanganya hadi ukaacha utupu wako waaazi. Una ID ngapi ukiacha hii na hiyo ya The Icebreaker?
Nina ID moja tu,yani empty set kama wewe nihangaike na wewe kwa ID's zingine hata kama ningekua nazo?

Kwahiyo kila atakaye kupinga kwa huu ujinga uliouandika hapa,zote hizo zitakua ni ID zangu sio?
 
Kwa nini unasema ana nafasi finyu wakati matokeo uliyosema ndiyo yana uwezekano mkubwa wa kutokea? Ingawa naona uwezekano wa Zambia kumsumbua Morocco kwa kiasi fulani.

Ni afadhali CV avuke maana wamefanya uwekezaji wa maana katika miundombinu yao ya soka na wachezaji wanajituma, ni bahati tu haijawa upande wao. Ningependa kuona wakivuka ili kuendelea kunogesha mashindano. Haipendezi mwenyeji kutoka mapema.

Hapa ungekuta timu kama Misri ungefurahi na roho yako jinsi wanavyosaka goli. Sisi tumeridhiiika 🤣😂🤣

Nilitaka Ivory Coast wasogee sogee kidogo ili kuwatuliza mashabiki wao. Mimi huwa siyo fan wa mwenyeji yoyote wa mashindano makubwa kutoka mapema hata awe dhaifu kiasi gani

Unisaidie nini sasa wakati haya matapishi uliyoyaandika hapa yanaendeshwa na chuki yako ya rangi ya ngozi na chuki ya udini? Wewe ndio unatakiwa ujisaidie na kuacha hizo chuki za kipumbavu.

Ndio maana nakwambia huna akili unabisha, tangu mwanzo wa uzi wako ulikuwa unaonyesha chuki kwa Morocco kushangiliwa na mashabiki wa Ivory Coast lakini chuki yako inatokana na udini.
Pitieni post hizo. Kama kuna mtu toka mwanzo alikuwa anataka Ivory Coast avuke ni mimi. Pia nimeshazisifia sana Morocco na Misri. Kama mna pepo zenu za chuki msizilazimishe kwa wengine.
 
Nadhani logic ya kawaida ni kwamba Morocco waliisaidia Ivory Coast kufuzu hatua inayofuata. So Wana appreciate.
 
Back
Top Bottom