Ivory Coast kuendelea kuisifu na kuiabudu Morocco ni upuuzi uliopitiliza

Nadhani logic ya kawaida ni kwamba Morocco waliisaidia Ivory Coast kufuzu hatua inayofuata. So Wana appreciate.
Hata kwenye betting, odds zilikuwa zinampa Morocco nafasi ya kuifunga Zambia siku ile na watu wa betting wanasema muhindi siyo fala.

Ukiniuliza mimi nitakwambia inawezekana zaidi kwa Tanzania kuliko Morocco ndiyo iliwafanyia favor Ivory Coast. Ukiangalia uchezaji wetu katika mechi na DRC, uchezaji wa kutotafuta ushindi wakati sare haikuwa inatupeleka popote changanya na historia yetu ya kujaribu kusaidia wengine wanapokuwa kwenye shida, mengine nitawaachia muunganishe dots wenyewe.
 
Tungewafunga DRC tungekuwa na point 4. Moroco7. Drc 2. Zambia 2. Ivory 3. Bado Ivory angefuzu
 
Back
Top Bottom