Ivvona Kamtu, Mtangazaji wa Azam Tv



kaka naomba tuheshimiane kabisa; tambua kuwa huyo ni mke wa mtu' usinitake niishie jela mimi
 
Nilidhani ni mim tu muhanga wa huyo dada kumbe wapo wengi lkn mm napenda jinsi alivyo na anavyotangaza.
yupo na yule wa tv one ni host wa kpnd cha the one show napenda anavyotangaza yule dada
 
Nikiwa kwenye matembezi ya kwaida na mke wangu, mara nyingi wanawake wenzake wanasema ...oh my God, look at that, she is so perfect.!!
HESHIMU MKE WA MTU.
 
huyu m



wakubwa mnamuonaje huyu mtoto? jamani kwangu naona mungu aliumba..ukisiliza anavyoongea kwa sauti nyororo na ya upole utapenda
[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji380] [emoji380] [emoji380] unampenda lakini mumewe anaupenda zaidi

Chunga
 
Nikiwa kwenye matembezi ya kwaida na mke wangu, mara nyingi wanawake wenzake wanasema ...oh my God, look at that, she is so perfect.!!
HESHIMU MKE WA MTU.
Labda una mpa sana mchemsho ndio maana yuko perfect. Shikamoo mzee!
 
Huyu mtoto lazima atakuwa na damu ya kitutsi.
 
Huyo dada ni mke wa Mtu, tena ni mtangazaji mwenzake akiitwa Raymond Nyamwihula. Ukitaka Kunaniiwa, endelea kufuatilia wake za watu
 
mimi namkubali ZUHURA YUNUS yani akianza kutangaza nabaki namshangaa yeye tu.
 
Weka picha yake harafu ni-pm nikupe namba ya rafiki yake utampata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…