Ivvona Kamtu, Mtangazaji wa Azam Tv

Ivvona Kamtu, Mtangazaji wa Azam Tv

Toka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.

Kuna huyu Ivvona Kamtu wa Azam tv nilianza kumpenda toka akiwa Star tv, juzi niende kumtafuta pale Azam tv walinzi wakanizuia. Please mwenye namba yake jamani anisaidie.

Hivi vituo vya habari ni balaa kwa machaguzi ya watangazaji.

kaka naomba tuheshimiane kabisa; tambua kuwa huyo ni mke wa mtu' usinitake niishie jela mimi
 
Nilidhani ni mim tu muhanga wa huyo dada kumbe wapo wengi lkn mm napenda jinsi alivyo na anavyotangaza.
yupo na yule wa tv one ni host wa kpnd cha the one show napenda anavyotangaza yule dada
 
Nikiwa kwenye matembezi ya kwaida na mke wangu, mara nyingi wanawake wenzake wanasema ...oh my God, look at that, she is so perfect.!!
HESHIMU MKE WA MTU.
 
12507135_1301040223254791_2519170282764224204_n.jpg
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji12] [emoji12] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] MI nimependa huyu mtu... Namba pleaseeee
 
huyu m

wakubwa mnamuonaje huyu mtoto? jamani kwangu naona mungu aliumba..ukisiliza anavyoongea kwa sauti nyororo na ya upole utapenda
[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji380] [emoji380] [emoji380] unampenda lakini mumewe anaupenda zaidi

Chunga
 
Nikiwa kwenye matembezi ya kwaida na mke wangu, mara nyingi wanawake wenzake wanasema ...oh my God, look at that, she is so perfect.!!
HESHIMU MKE WA MTU.
Labda una mpa sana mchemsho ndio maana yuko perfect. Shikamoo mzee!
 
Huyu mtoto lazima atakuwa na damu ya kitutsi.
 
Toka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.

Kuna huyu Ivvona Kamtu wa Azam tv nilianza kumpenda toka akiwa Star tv, juzi niende kumtafuta pale Azam tv walinzi wakanizuia. Please mwenye namba yake jamani anisaidie.

Hivi vituo vya habari ni balaa kwa machaguzi ya watangazaji.
Huyo dada ni mke wa Mtu, tena ni mtangazaji mwenzake akiitwa Raymond Nyamwihula. Ukitaka Kunaniiwa, endelea kufuatilia wake za watu
 
mimi namkubali ZUHURA YUNUS yani akianza kutangaza nabaki namshangaa yeye tu.
 
Toka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.

Kuna huyu Ivvona Kamtu wa Azam tv nilianza kumpenda toka akiwa Star tv, juzi niende kumtafuta pale Azam tv walinzi wakanizuia. Please mwenye namba yake jamani anisaidie.

Hivi vituo vya habari ni balaa kwa machaguzi ya watangazaji.
Weka picha yake harafu ni-pm nikupe namba ya rafiki yake utampata.
 
Back
Top Bottom