Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Zile nyingine huna kwaniiiiiiiii!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile nyingine huna kwaniiiiiiiii!!!
Toka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.
Kuna huyu Ivvona Kamtu wa Azam tv nilianza kumpenda toka akiwa Star tv, juzi niende kumtafuta pale Azam tv walinzi wakanizuia. Please mwenye namba yake jamani anisaidie.
Hivi vituo vya habari ni balaa kwa machaguzi ya watangazaji.
Jibu hilombona kama ana pete?
Sabuni ya kipande inakuhusu usiku huu!!Hata mie jamani nipo hoiiiii
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji12] [emoji12] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] MI nimependa huyu mtu... Namba pleaseeee
[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji380] [emoji380] [emoji380] unampenda lakini mumewe anaupenda zaidihuyu m
wakubwa mnamuonaje huyu mtoto? jamani kwangu naona mungu aliumba..ukisiliza anavyoongea kwa sauti nyororo na ya upole utapenda
Za kabila gani hizo zingine we jambaziZile nyingine huna kwaniiiiiiiii!!!
Huyo dada ni mke wa Mtu, tena ni mtangazaji mwenzake akiitwa Raymond Nyamwihula. Ukitaka Kunaniiwa, endelea kufuatilia wake za watuToka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.
Kuna huyu Ivvona Kamtu wa Azam tv nilianza kumpenda toka akiwa Star tv, juzi niende kumtafuta pale Azam tv walinzi wakanizuia. Please mwenye namba yake jamani anisaidie.
Hivi vituo vya habari ni balaa kwa machaguzi ya watangazaji.
Made in kwa Kaka-ga-meHuyu dada nii mke wa mtu na mmewe anaitwa Raymond Nyamwihula naye ni mtangazaji pia.
![]()
![]()
![]()
Haha sasa wewe jela itakuhusu vipi wakati sio mkeo?kaka naomba tuheshimiane kabisa; tambua kuwa huyo ni mke wa mtu' usinitake niishie jela mimi
Weka picha yake harafu ni-pm nikupe namba ya rafiki yake utampata.Toka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.