Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

Kanywe chai, mada ya kitoto kabisa
 
Hii
 
Wewe kama haujashiba bora ulale kuliko kuamka unawaza mambo ya hovyo
 
ila machawa wa DJ na sissiemu mna akili ndogo sana, hivi huwa mnajielewa?
 
Takataka +
 
Ushakuwa mtu mzima ,acha kujidharirisha kwa kuandika mada za kipumbavu
 
Kama WEWE baada ya kuolewa ulihamia kwa mume wako, halafu USIKU KUCHA HULALI UNAFANYA KAZI YA KULIA maumivu na UTAMU WA "Hogo la Jang'ombe" 🤣🤣🤣😆😆🚴🚴🚴🚴🚴
 
Poa tuu mbona ikulu ilikuwa chato, zen Kizimkazi, sita alijenga ofisi ya bunge Tabora jimboni, na iwe ubeligiji itapendeza zaidi.
 
Yatahamishiwa ktk matako yako
 
Hoja mufilisi.
 
Yatahamishiwa kwa mama yako
 
Mie napendekeza makao makuu yawe Canada wa Lema - kule nchi yao imeendelea sana kisiasa, kiulinzi na viongozi wa CDM watakuwa more secure. Afu michago ya wa canada kwa chama itakuwa ni mkubwa so chama hakitakuwa na ukata tena.
 
Chawa wa Dalali wenje na mbowe masimango wakivuta bangi hujiandikia chochote
 
Mie napendekeza makao makuu yawe Canada wa Lema - kule nchi yao imeendelea sana kisiasa, kiulinzi na viongozi wa CDM watakuwa more secure. Afu michago ya wa canada kwa chama itakuwa ni mkubwa so chama hakitakuwa na ukata tena.
Mbowe akiiba kura akawa mwenyekiti haramu tena makao makuu yatakuwa Hai?au yatakuwa ghetto kwa wenje Dalali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…