jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA