kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Ndio mhuni mwenyewe huyo.Saa hizi Nape angekuwa ameweka viraka suruali yake kama asingeomba msamaha na kuanza kulamba viatu vya Jiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mhuni mwenyewe huyo.Saa hizi Nape angekuwa ameweka viraka suruali yake kama asingeomba msamaha na kuanza kulamba viatu vya Jiwe!
yeye godfather wenu alikuwa akiwaambia wastaafu kuwa WANAWASHWA na yeye alikuwa wa kijiweni?Ndo maana wanaitwa wahuni,Hawana maneno ya staha kwa waliowazidi umri,wana maneno ya vijiweni
hadi leo huwa sijui kwanini happi bado yupo kwenye hii serikali. huwa sielewi kabisa kwasababu wenzake wote walishadondokea pua. kwa kiburi kile cha kumkemea JK hadharani na kumtishia kumshughulikia? kitoto kidogo kama kile kinamtishia Rais Mstaafu aliyetawala nchi kwa miaka 10. just imagine.huwa hata sielewi.Hata wewe unajua Magufuli alikuwa Godfather wa;
Polepole
Makonda
Sabaya
Hapi
Chalamila
Kabudi
Ktk viongozi waadilifu na magufuli yumo?? myfoot!Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers.
Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu.
Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Yes kazi ya kuteka ilikua ni kazi kubwa mno.Hawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Wahunj si ndio nyienyie kuna mwanaccm sio mhuni?Ndo maana wanaitwa wahuni,Hawana maneno ya staha kwa waliowazidi umri,wana maneno ya vijiweni
Ni kweli aliua watu wengi sana.Hawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Nape nilishamtoa akilini tangu enzi zile alipolipwa mil 800 na kushirikiana na wauza madawa. Na asidhani taasisi ya rais ni mtu, ule ni mfumo haujafa! Ila alivyo mjinga mh. Nape ikitokea leo kaja rais mwingine na akarudisha misimamo ya Dkt Magufuli utashangaa ataomba msamaha.Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers.
Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu.
Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Chawa wa Jiwe mnapata tabu sana ! jiwe kishang'oka , NDIO BASI TENAKama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers.
Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu.
Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
[emoji38][emoji38][emoji38]Atamwomba nani msamaha na wao ndiyo wenye chama na hamna kitu mtamfanya?
Chama kimerudi kwa wenyewe. Mbona nyie watu ni wagumu kuelewa?
Nafikiri tuachane na hao jamaa tujikiye na kazi za Samia Suluhu HassanKama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.