Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kama yale ya nenda na mavi yako nyumban 🤣🤣 au nasema uongo ndugu yangNdo maana wanaitwa wahuni,Hawana maneno ya staha kwa waliowazidi umri,wana maneno ya vijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yale ya nenda na mavi yako nyumban 🤣🤣 au nasema uongo ndugu yangNdo maana wanaitwa wahuni,Hawana maneno ya staha kwa waliowazidi umri,wana maneno ya vijiweni
Aombe radhi kwa nan labda?? Mzee ni bora u realize mambo yashabadilika kutesa kwa zamu. Na mtu akifa kafa tu hakuna namna nyingine au nasema uongo ndugu yang!Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwani nani asyejuwa kama magufuli alikuwa ni Godfather wa vijana wote wahalifu waliokuwa na vyeo wakati ule. Makonda mpaka ilifika kudiriki kusema labda waziri mkuu alikuwa akihongwa wa wauza shisha huwezi kuthubutu kumwambia waziri mkuu maneno kama hayo hata kama ni utani kwenye hadhara bado ukabakia madarakani bila ya kuwa na Godfather aliyejuu kabisa ya system.Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Hakuwa muadilifu.Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita
Naye alikuwa mhuni wa kiSG tumbele ya wahuni
Na Lissu aliyemkosoa JPM akiwa live tumuweke wapiNajaribu kuvuta taswira ya Nape Nnawie alipokuwa akikatisha Ikulu kwenda kuomba msamaha, Nalinganisha na kauli zake leo, nagundua kuwa Tanzania hatuna kabisa viongozi. Kuna kundi la wajasiliamali wa kisiasa tu. Toka ngazi ya juu hadi chini.
Alexander Mnyeti.Hata wewe unajua Magufuli alikuwa Godfather wa;
Polepole
Makonda
Sabaya
Hapi
Chalamila
Kabudi
Kazi zake za kupendeza tumeziona kwa machoDikteta hakuwa mwadilifu
Viroboto mmeguswa kunako eee? Ila ni kweli, Nape kakosea maandishi, haiwezekani kusema ‘godfather’ angesama aliye kuwa anajiona yeye ni godfather!Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Na kile kibaraza alicho apishiwa Madelu kuwa bwana sheria asiye jua sheria! Hivi kile kibaraza kina tofauti na hii bar ya mbege ya Manka hapa Rau Madukani?!Chato International Airport
Uzuri Nape sio ChademaKama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu. Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.
Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .
Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ipi?Hawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Hakusema waziri Mkuu bana..[emoji1787][emoji1787]Kwani nani asyejuwa kama magufuli alikuwa ni Godfather wa vijana wote wahalifu waliokuwa na vyeo wakati ule. Makonda mpaka ilifika kudiriki kusema labda waziri mkuu alikuwa akihongwa wa wauza shisha huwezi kuthubutu kumwambia waziri mkuu maneno kama hayo hata kama ni utani kwenye hadhara bado ukabakia madarakani bila ya kuwa na Godfather aliyejuu kabisa ya system.