Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

Nape atulie na asitafute kiki ya kusaka uwaziri
 
Asilimia kubwa ya sana jf....ni wale walitumbuliwa na Jpm that's y wanamclash sana legendary magufuli
Basi waliotumbuliwa na huyo mwendakuzimu ni "smart" mara 100 zaidi ya mtumbuaji.
Basi JF ina watu wanaojitambua zaidi ya wale waliopo maofisini.
 
HAKIKA TUTAHOJI JAPO TUKIUNGANISHA DOTI TUNAELEWA.

NAMUUNGA MKONO MTOA POST UKITAKA KUWA SALAMA USIMTAJE JPM WETU BADO TUNAMUOMBOLEZA TUNA UCHUNGU MKUU.

HAKUNA AMBAE HATAKUFA NI SWALA YA MUDA TU.
 
Gaidi wenu alihusika sana yaani aliteka ili Magufuli aonekane mbaya
Basi Magufuli hakuwa rais zaidi ya "sanamu".
Mbowe ateke halafu rais wa nchi,tena wa chama "twawala" ambaye ni amiri jeshi mkuu, akae kimyaa tuuu, na amuache Mbowe ambaye ni kiongozi wa chama kikuu "sumbufu" cha upinzani, akiwa yupo mtaani!!!????
Leo nimeamini mwendakuzimu alitapanya hela ya umna kwa kuajiri "vichaa" wenzake ili tu aabudiwe.
 
hadi leo huwa sijui kwanini happi bado yupo kwenye hii serikali. huwa sielewi kabisa kwasababu wenzake wote walishadondokea pua. kwa kiburi kile cha kumkemea JK hadharani na kumtishia kumshughulikia? kitoto kidogo kama kile kinamtishia Rais Mstaafu aliyetawala nchi kwa miaka 10. just imagine.huwa hata sielewi.
Andika barua ukamtoe

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers.
Pia ni muhimu kujua kwamba Hata Godfather wake anaweza kuondoka siku moja na God grand Father akachukua hatamu.
Hakuna atakayekaa kwa amani iwapo atamchafua the late and the legend JPM.

Makundi yote ndani ya CCM yajiepushe kuchafua viongozi wetu waadilifu waliopita .

Ipo siku tutahoji kifo cha Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Anasemwa mungu itakua jpm,, we unafikiri kutishiwa mguu wa kuku bila kosa, mchezo?
 
Magufuli hachafukiki.
Humu penyewetu walishachemsha na ugreat wao wote.
 
hadi leo huwa sijui kwanini happi bado yupo kwenye hii serikali. huwa sielewi kabisa kwasababu wenzake wote walishadondokea pua. kwa kiburi kile cha kumkemea JK hadharani na kumtishia kumshughulikia? kitoto kidogo kama kile kinamtishia Rais Mstaafu aliyetawala nchi kwa miaka 10. just imagine.huwa hata sielewi.
Yule lazima alikua kichomi,,, deep cover
 
HAKIKA TUTAHOJI JAPO TUKIUNGANISHA DOTI TUNAELEWA.

NAMUUNGA MKONO MTOA POST UKITAKA KUWA SALAMA USIMTAJE JPM WETU BADO TUNAMUOMBOLEZA TUNA UCHUNGU MKUU.

HAKUNA AMBAE HATAKUFA NI SWALA YA MUDA TU.
Uzuri saa hizi hamuwezi kuua ua ovyo tena kwahiyo watanzania wako salama sana sasa, Rip lwajabe
 
Back
Top Bottom