Unataka uombwe radhi wee jambazi uliyelelewa na jiwe!Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi...
Ya ujambazi?Hawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Ya u godfatherHawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Hawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Hawawezi kumchafua Magufuli, kazi aliyoifanya ni kubwa mno.
Saa hizi Nape angekuwa ameweka viraka suruali yake kama asingeomba msamaha na kuanza kulamba viatu vya Jiwe!Najaribu kuvuta taswira ya Nape Mnawie alipokuwa akikatisha Ikulu kwenda kuomba msamaha, Nalinganisha na kauli zake leo, nagundua kuwa Tanzania hatuna kabisa viongozi. Kuna kundi la wajasiliamali wa kisiasa tu. Toka ngazi ya juu hadi chini.