Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Sina sababu ya kuelezea sana! Mwamba anajieleza mwenyewe! Nasema mwisho leo kumlinganisha na hiyo michembe {mabumunda} yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina sababu ya kuelezea sana! Mwamba anajieleza mwenyewe! Nasema mwisho leo kumlinganisha na hiyo michembe {mabumunda} yenu.
Tahaira mataqo yaqo! umeyaona yalivyo?We tahaira uyo chama unaemsema anaonekana kwenye mechi Kama izo za kagera sugar, muweke kwenye mechi dume Kama ajapelekwa benchi
Soka la bongo ni Derby,Chama ndie "ice cream" ya soka la bongo.
Tuisilaa yupi tena? Keshatimuliwa,adebayor in...uncle ibenge anataka amvute al hilal maboss hawataki wanmtaka sakhoMwamba derby zote 3 na sisi mmemtoa nje kwendabenchi
Ni huyu huyu anayeelezwa kuwa yupo slow
Mwenzake Tuisila bado anakula kuku huko umangani,yeye tuko nae hapa hapa mburahati
Ana nini cha ajabu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
kama ile ya kaizer chief?Chama anamechi zake zile nyepesinyepesi .
Tusila? Anetafuta timu ya kuchezeaMwamba derby zote 3 na sisi mmemtoa nje kwendabenchi
Ni huyu huyu anayeelezwa kuwa yupo slow
Mwenzake Tuisila bado anakula kuku huko umangani,yeye tuko nae hapa hapa mburahati
Ana nini cha ajabu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mchezaji anacheza taratibu kama konokono anatembea[emoji3][emoji3][emoji3]
mruhusu akuchezee uone kama konokono au mandingoMchezaji anacheza taratibu kama konokono anatembea[emoji3][emoji3][emoji3]
Manara ni kachumbari kwenye pilau ya soka la bongo...😂😂Chama ndie "ice cream" ya soka la bongo.
Vipi kuhusu game kama kaiza chief na nyingine nyingi za CAF...acheni mechi za yanga na simba mnazologaWe tahaira uyo chama unaemsema anaonekana kwenye mechi Kama izo za kagera sugar, muweke kwenye mechi dume Kama ajapelekwa benchi