kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Uwanja unaukubwa wake au hujuiMchezaji anacheza taratibu kama konokono anatembea[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja unaukubwa wake au hujuiMchezaji anacheza taratibu kama konokono anatembea[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata kwenye zile nne mlizokula hakuwa na chaajabu...!!! Ni hvyo watu tumeumbiwa kusahauMwamba derby zote 3 na sisi mmemtoa nje kwendabenchi
Ni huyu huyu anayeelezwa kuwa yupo slow
Mwenzake Tuisila bado anakula kuku huko umangani,yeye tuko nae hapa hapa mburahati
Ana nini cha ajabu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mchezaji wa mechi ndogo huyo hana uwezo wa kuibeba Thimba kwenye mechi ngumu.Kalai tu hilo huna Cha kujivunia na kutambaSina sababu ya kuelezea sana! Mwamba anajieleza mwenyewe! Nasema mwisho leo kumlinganisha na hiyo michembe {mabumunda} yenu.
[emoji1787][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana
Basi awe anachangamka kwenye mechi kubwatuache ushabiki Chama ana kipaji
Hata kwenye mechi za Yanga????Chama anacheza mpira kama anacheza porn
Ndiyo sisi hao[emoji1787][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana