Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Mwinyi ndio alianzisha mambo yabkujenga misikiti kwenye open space za umma
 
Hayo makanisa Mbeya yamejengwa kwenye maeneo ya umma au ni maeneo binafsi yanayomilikiwa na makanisa?
 
Ukisha mjua mtu msumbufu, kula nae vizuri tu... Ili asikusumbue mbeleni..
 
Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Lakini makanisa mengi yenye maeneo makubwa mijini walijenga wazungu miaka ya nyuma na ndio maana mpaka sasa haijavunjika na itakuwepo sana

Wangejenga waswahili yangekuwa magofu kwa sasa
Mkuu makanisa yaliopo yanajulikana na sasa yanayoota kama uyoga ni ya watu binafsi wenye tamaa ya hela tu na sio dini tena

Mtu anafungua dhehebu anaanza kukanyaga watu
Mwingine anawalisha majani kama mbuzi
Na mengine mengi

Ila kama ni Makanisa makubwa wahusika wanaomba misaada kutoka nje sana na wanapewa mpaka leo
Kuanzia RC, Protestant na hata Anglican
Kuomba misaada ni kawaida kwa nchi masikini
 
Ndio unajengwa sasa. Utafanya nini?
 
Ardhi yote ya nchi hii ni ya serikali hata hiyo nyumba yako uliyo ijenga umeijenga kwenye ardhi ya serikali.
Hakuna mtu au taasisi yeyote inayo miliki ardhi ndani ya Tz zaidi ya serikali.
 
Kama sasa hivi mnakereka kwa vitu vidogo kama hivi basi ni Karma inafanya kazi yake. Tujitahidi sana kuwatendea wenzetu mazuri maana kila tulitendalo ni lazima tulilipe hapa hapa duniani. Miaka mingi sana Waislam wamekuwa wakilalamika sana kudhulumiwa kwenye kila sekta hapa nchini lakini wenzetu mlikuwa badala ya kusaidia tatizo mlikejeli kwa kusema tunapenda kulalamika.
 
Povu jingi akili kisoda. Umeambiwa kujenga kwenye maeneo ya umma au serikali. Unaelewa maana yake? Hajazungumzia misikiti mingi au michache. Wewe vipi?
 
Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Mkisha changishana kujenga hayo mashule sisi waislam , wakristo na wapagani wenye pesa zetu tunaleta watoto wetu wanasomea kwenye hizo shule, alafu nyinyi wakristo makapuku mlio changa kuzijenga hizo shule watoto wenu wanaenda kusomea kayumba.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Povu jingi akili kisoda. Umeambiwa kujenga kwenye maeneo ya umma au serikali. Unaelewa maana yake? Hajazungumzia misikiti mingi au michache. Wewe vipi?
Ardhi yote ya nchi hii ni ya serikali hakuna anaye miliki ardhi ndani ya nchi hii zaidi ya serikali.
 
Nyie watu mna roho mbaya sana na mnatamani muitangaze nchi ni ya dini yenu na nyingine zote marufuku sema mnashindwa,huko serikalini si mmejazana sasa mnashindwa nini kujenga za kwenu pia, si mnaona wenzenu wanafaidi!
 
Hiyo ni sera ya ccm zidi ya Bakwata
 
umejibu vizuri lakini wakati mwingine jaribu kuepuka kumjibu mtu kwa kumdhalilisha na hasa linapokuja swala la imani maneno kama (huna akili,mpumbavu,mjinga) yanaweza kusababisha ujumbe wako kwake usifike mweleze kwa unyenyekevu kwa kuwa anahitaji kujifunza pia.
 
Waislamu hawajiwezi hawawezi panga vitu.. Wanachoweza ni lawama
punguza ukali wa maneno na hili lilikuwa zamani siku hizi wanafanya vizuri na hii imetokana na malezi mabaya wakristo tunayowapa watoto wetu kifupi tumedekeza mno watoto kiasi tumeshindwa kuwajengea msingi wa kujitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…