Mbona mgumu kuelewa hoja aisee!Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.
Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.
DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA