Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Matatizo ya Akili yapo, Yaan Dar iwe na Wakristo wengi kuliko Waislam kwa akili yako?
Huyo dar hapajui wakirito wa wapo lakini wachache sana dar kuna wazalamo wamakonde wandegereko wadigo wabondei Wapemba waruguru haya makabila ndio yenye watu wengi dar wengi wao ni waisilamu
 
Mkisha changishana kujenga hayo mashule sisi waislam , wakristo na wapagani wenye pesa zetu tunaleta watoto wetu wanasomea kwenye hizo shule, alafu nyinyi wakristo makapuku mlio changa kuzijenga hizo shule watoto wenu wanaenda kusomea kayumba.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Hao waislam ni dhaifu lakini wanawa pelekesha mpaka haiwezi pita siku hamjawaanzishia uzi wa kuwajadili.

Leo tu zimesha anzishwa nyuzi 3 kuwajadili waislam.
Waisilamu watu maarufu sana ndio maana kila kafiri akitaka kujadili anatujadiri
 
Mimi mkristo kuongezeka kwa hiyo misikiti naona ni jema ni uelewa tu wa mtoa mada kutokujua umuhimu na mchango wa hizo nyumba za ibada
Wecha weye hata wewe na mtoa mada tofaoti yenu nn?
 
Ndivyo ulivyofundishwa? Nenda kavamie kiwanja cha mtu useme ni mali ya serikali.
Ardhi ya Tanzania ni mali ya Watanzania husika wanaoimiliki.
Tatizo lako akili ndogo unataka kubishana na wenye akili kubwa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
We tabatabata upajui unahamia juzi tu misikiti yote ya tabata unaijua wewe au ushenzi tu unakusumbua
Miaka zaidi ya 30 nipo Tabata, sehemu zote tulizokuwa tunacheza mpira zimejengwa misikiti, mfano mzuri ni pale Chama mbele ya ofisi za CCM nanuke mwingine pale kwenye kona kilimani karibu na shule ya msingi, sasa hivi watoto wanacheza mpira barabarani
 
Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Ninyi wakristo mbona makanisa yenu yanaomba kujengewa shule na hospitali, kwa nini Wa9swlamu wasiombe kujengewa misikiti. Kila dhehebu lina vipaumbele vyake, kwa nini ninyi wakristu muombe kujengewa shule na hospitali Waislamu wakijengewa misikiti mnaona nyodo.
 
Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.

Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.

DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Jibu zuri sana kwa wenye kutafakari. Kama haitoshi hata jina Dar er Salaam linathibitisha hivyo.
 
Miaka zaidi ya 30 nipo Tabata, sehemu zote tulizokuwa tunacheza mpira zimejengwa misikiti, mfano mzuri ni pale Chama mbele ya ofisi za CCM nanuke mwingine pale kwenye kona kilimani karibu na shule ya msingi, sasa hivi watoto wanacheza mpira barabarani
Miaka 30 lakini bado mshamba tu nyumba za tabata robo 3 zimejengwa holela hata hapo unapo ishi hata makanisa ya yamejengwa holela tu kwa chuki yako umeona hiyo misikiti 2 tu makanisa ukuyaona hovio
 
Back
Top Bottom