Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.

Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa.

Polisi na hata wanajeshi pia.

Inakuwaje?

Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
 
Wanachaguliwa wanaccm ili wakisaidie chama chao kuratibu wizi wa kura wakati wa chaguzi mbali mbali
Ni jambo ambalo katiba mpya lazima waliangalie linaondoa efficiency serikalini maana unatumika muda mwingi kuwafundisha kazi.
 
Inakiwaje Mwalimu awe kada wakati watumishi wa umma sio wanasiasa?
Hayo sasa umesema wewe hakuna sehemu kwenye majukumu ya DC kuudhuria vikao vya CCM, hiko kitu hakipo.

Ndio maana nikasema kama wanaudhuria ni kwa sababu ya ukada wao tu, lakini si sehemu ya majukumu yao.
 
Na tena hatujaishia kukataa uteuzi tu tunataka tuishtaki serekali kwa kutumia majina yetu tuliyo ya brand miaka mingi kwenye teuzi zao za u DC
 
DC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi mpaka wewe umeanza kudhani hiyo ni nafasi ya siasa.
Kumbe hujui kitu DC sio cheo cha kisiasa? Rudi darasani.

Mkurugenzi wa Wilaya ndio sio mwanasiasa
 
Back
Top Bottom