Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Wanachaguliwa wanaccm ili wakisaidie chama chao kuratibu wizi wa kura wakati wa chaguzi mbali mbali
Wanateuliwa ccm kwasababu, Rais ana chagua watu anaowaamini wamuuwakilishe kile anachotaka yeye kifanyike huko wilayani na mkoani, hivi Rais unataka ateue mtu wa chama kingine? Je akimsaliti ama akimuhujumu huko wilayani???
 
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.

Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.

Polisi na hata wanajeshi pia.

Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Sheria ipi inayosema mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa? Unaweza kuquote?
 
Nilikuwa najiandaa kuileta hii humu. Hongera.

Makosa waliyafanya mapema kuwafanya kwa lazima RC na DC wanasiasa badala ya watumishi wa umma.
Tena lazima uwe mwanasiasa wa ccm katika mfumo huu wa vyama vingi
NDIO MAANA TUNATAKA KATIBA MPYA KIONDOA MAMBO YA HOVYO KAMA HAYA
 
Katiba mpya is key wa aya yote over.......
Mtumish wa umma ni kulwa na doto
Na
Mtumish wa ccm
Eh...Shaka shaka Huwez kusema ni mtumish wa umma hata yeye mwenyewe atakushanga ila ukimwambia mtumish wa ccm atakuelewa......
 
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.

Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.

Polisi na hata wanajeshi pia.

Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
soma vizuri standin order mzee ni ruksa kua mwanachama isipokuwa kupanda kwenye majukwaa ya siasa kuongea,

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.

Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.

Polisi na hata wanajeshi pia.

Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Unazungumzia Chama kipi, Hilo linawahusu Vyama vya Upinzani...ukiwa CCM Hmna pingamizi...Kuna Watumishi wa Imma lukuki ni Viongozi wa CCM!
 
Back
Top Bottom