nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Wanateuliwa ccm kwasababu, Rais ana chagua watu anaowaamini wamuuwakilishe kile anachotaka yeye kifanyike huko wilayani na mkoani, hivi Rais unataka ateue mtu wa chama kingine? Je akimsaliti ama akimuhujumu huko wilayani???Wanachaguliwa wanaccm ili wakisaidie chama chao kuratibu wizi wa kura wakati wa chaguzi mbali mbali
Sheria ipi inayosema mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa? Unaweza kuquote?Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
NDIO MAANA TUNATAKA KATIBA MPYA KIONDOA MAMBO YA HOVYO KAMA HAYANilikuwa najiandaa kuileta hii humu. Hongera.
Makosa waliyafanya mapema kuwafanya kwa lazima RC na DC wanasiasa badala ya watumishi wa umma.
Tena lazima uwe mwanasiasa wa ccm katika mfumo huu wa vyama vingi
Toa kifungu cha sheria.
soma vizuri standin order mzee ni ruksa kua mwanachama isipokuwa kupanda kwenye majukwaa ya siasa kuongea,Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Unazungumzia Chama kipi, Hilo linawahusu Vyama vya Upinzani...ukiwa CCM Hmna pingamizi...Kuna Watumishi wa Imma lukuki ni Viongozi wa CCM!Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?