Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Hakika na wengine wako wengi, Marijani Rajab u, mbaraka mwinshe, Patric Balisidya, Ndala Kasheba, Ali Zahir Zoro, Maestro King Kiki na wengine kama Dr. Remmy Ongala.Na kumbukumbu hiyo iende sambamba na kumuenzi nguli, mwanamuziki bora wa dansi kuwahi kutokea nchini Banza Stone.
Uko sahihi kabisa wanamziki wa dansiKatika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao.
Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa walijitahidi kutumia kiswahili katika utunzi wa nyimbo zao, na walikwenda kujitoa na kuburudisha jamii Huku wakieneza lugha yetu ya Kiswahili kwa nini tunasahau hili kitu muhimu
Tuungane wote tupige campaign MwanaFA alishupalie tumtag walijue hili.Uko sahihi kabisa wanamziki wa dansi
- Waliimba kwa kiswahili fasaha
- Muziki ulilenga kuijenga jamii kimaadili
- Muziki wao ulibeba ubunifu na ufundi wa kupiga vyombo vizuri kabisa
- Muziki wao ulikuwa na mvuto
Haina tabu kubwa kama wanamchango kwa mapana yake.atakuja mtu wa taarabu nae atataka iweke siku ya taarabu pia