Hizi shule nyingi ni biashara,zinaendeshwa kwa malipo ya Ada,bila ada,hakuna mishahara,
Hakuna haja ya tume,wizara ipo,tatizo watendaji wamelala,miongozo haifwatwi.
Unalipa millioni 2,mtoto anapewa andazi moja na chai ya rangi Kama breakfast!
January fever inatusumbua wengi sana.Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila sababu.
Unajua ada inapanda labda kuna mazingira shule au walimu watabadilika hakuna inabaki pale pale hii serikali inabidi kumulika kwa jicho angavu
Shule za umma zipo na mtoto wako kapangiwa shule ya umma kwanini unang'ang'ania ya binafsi? Shule binafsi kuna ADA na GHARAMA za matumizi ya mwanao. Shule nyingi toka Magufuli ameingia madarakani hajapandisha ADA. Kinachopanda na GHARAMA za matumizi ya mtoto, mfano Godoro, ndoo, jembe, kijiko, sahani, uniform. Wewe umeambiwa mtoto aende na ndoo (ambazo nyumbani unazo) au atapatiwa shuleni; unaamua asibebe mzigo anakwenda kulipishwa TZS 5,000 na ndoo umeacha nyumbani.Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila sababu.
Unajua ada inapanda labda kuna mazingira shule au walimu watabadilika hakuna inabaki pale pale hii serikali inabidi kumulika kwa jicho angavu
Umeongea kwa hasira sana. Ila binafsi naona ungenyamaza ili wenye watoto wao huko waseme.Shule za umma zipo na mtoto wako kapangiwa shule ya umma kwanini unang'ang'ania ya binafsi? Shule binafsi kuna ADA na GHARAMA za matumizi ya mwanao. Shule nyingi toka Magufuli ameingia madarakani hajapandisha ADA. Kinachopanda na GHARAMA za matumizi ya mtoto, mfano Godoro, ndoo, jembe, kijiko, sahani, uniform. Wewe umeambiwa mtoto aende na ndoo (ambazo nyumbani unazo) au atapatiwa shuleni; unaamua asibebe mzigo anakwenda kulipishwa TZS 5,000 na ndoo umeacha nyumbani.
Hata mimi nina watoto shule binafsi. Mmoja wa Form I nimempeleka jana wawili wa Form III na Form V wanaondoka Jumamosi. Hakuna ada iliyopandishwa toka Magufuli aingie madarakani kwa shule wanakosoma watoto wangu. Kinachoongezeka kwenye malipo ni mahitaji mbalimbali ya mtoto ambayo hata kama mzazi angenunua peke yake huenda bei ingekuwa juu. Kuna shule mmoja nimempeleka mtoto wa marehemu kaka yangu Blancket tulilokuwa nalo lilikataliwa na badala yake tukauzia lingine pale shule kwa TZS 15,000 ambayo ni bei nafuu kuliko tunavyouziwa huku mijini.Umeongea kwa hasira sana. Ila binafsi naona ungenyamaza ili wenye watoto wao huko waseme.