Hahahaaaaa Mchechu anapigwa makavu hapa anacheka tuu, mh hacheki na nyani hapaBod upo? Unaona jamaa anavypigwa makofi bila chenga. Duh! Tuwe tunamwomba MUNGU anatupa maneno ya kuongea jamani. Duh!
Anasema " Nimekuchapa kwa uwazi" Duh!
Ndiyo viwanda vya CCM.Hongera naona viwanda vinaongezeka
Hahahaaaa jamaa kaanza kwa kujipamba na kujibembeleza hakujua kwamba Rais hacheki na nyani.Magufuli anatema cheche kwa mkurugenzi wa nyumba. Mpaka aibu kumbe kuna madudu mengi ndani ya shirika ni balaaa
Nimemwonea huruma kweli kweliHahahaaaa jamaa kaanza kwa kujipamba na kujibembeleza hakujua kwamba rais hacheki na nyani.
Makosa yote watendayo wanadamu watasamehewa isipokuwa la kumkufuru roho mtakatifuKwa Magufuli kila goti litapigwa
....hahahahahahahahaaaaaaaaa Jesus!ile sheria tuliipitisha nikiwa bado sijawa Rais.
Kwa kweli umeongea jambo la msingi sana.Naunga mkono Rais kuzinduwa nyumba hizi.
Lakini azikaguwe na awaulize bei za hizo nyumba ninaamini atazimia.
Tunamsubiri azinduwe na zile za Pspf kule Buyuni Chanika, ule ni wizi na ujambazi wanafanyiwa Watanzania, nyumba ya millioni 20 Mtanzania anakamuliwa millioni 80, na ukikopa riba inafika millioni 200.
Mheshimiwa Rais ukiweza kuwashughulikia hawa wahuni na mimi niandalie kadi ya kujiunga na ccm ya Magufuli.
Kwa sababu Rais hajakwenda kufanya tangazo la biashara.Habari wanabodi!
Nilikuwa naangalia hapa Mradi wa Ufunguzi wa Nyumba wa Iyumbu ambao ulikuwa unafanywa na Mh. Raisi.
Nimeona yale maji ambayo yanatumika pale yapo kwenye chupa ila haionyeshi kama ni Product ya Kilimanjaro, Uhai, Dasani, Udizungwa n.k.
Wajuvi wa mambo tafadhali naomba mnijuze kwa nini yale maji hayana lebo ya kuonyesha mzalishaji?
Nawasilisha