Zee la kitaa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 403
- 211
Na wewe umeandika ama umeleta porojo. Kwani hiyo reli haijengwi. Unataka asifie migomo ama kutoshiriki uchaguzi?Nimemshangaa huyu jamaa anasifia hadi anapitiliza na anaweka na uongo tupo iyumbu hapa anaimba anasema kwa uzalendo wa MH SANA anajenga flyover kutoka DAR hadi MWANZA aisee huu unafiki wa watanzania ni wakiwango cha 100G maana kwa kujua watu wanapenda sifa basi wanasifia hadi uongo.
Ukweli utakuweka huru wakati wote.