Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

Nimemshangaa huyu jamaa anasifia hadi anapitiliza na anaweka na uongo tupo iyumbu hapa anaimba anasema kwa uzalendo wa MH SANA anajenga flyover kutoka DAR hadi MWANZA aisee huu unafiki wa watanzania ni wakiwango cha 100G maana kwa kujua watu wanapenda sifa basi wanasifia hadi uongo.
Ukweli utakuweka huru wakati wote.
Na wewe umeandika ama umeleta porojo. Kwani hiyo reli haijengwi. Unataka asifie migomo ama kutoshiriki uchaguzi?
 
Ukpo pande ipi, Mbona sikuoni. Hiyo sikuisikia
Mimi nipo hapa karibu na walio wengi namsikiliza mahenge, naye akitoa misifa hapa, naona ili mkubwa wangu huyu akupende sifia sana sna hata uongo
 
Na wewe umeandika ama umeleta porojo. Kwani hiyo reli haijengwi. Unataka asifie migomo ama kutoshiriki uchaguzi?
Acha ulofa tuliwaambia mna akili ndogo mnakataa, kasema reli au flyover?? Sahihisha hapo kwanza maana inaonekana unataka kupotosha hata hiki.
 
Tehe tehe teee kama wewe huwezi kulia wacha wenye machozi wayamwage!
 
Mimi nipo hapa karibu na walio wengi namsikiliza mahenge, naye akitoa misifa hapa, naona ili mkubwa wangu huyu akupende sifia sana sna hata uongo ,
Nipo pande hiyo hiyo, kwani wewe umevaliaje? Mimi nimevaa T-shirt na suruali nyeusi.
 
WIVU HAUTAWAACHA SALAMA WALAHI
Hatuna wivu tena hatuna wivu kabisa na kama una akili timamu utajua kuwa sina wivu maana yawezekana wewe nawe ni juha uko radhi kuutoa utu wako ilimradi tu ujipendekeze kwa mtu, sifia jambo lililo sahihi na sio kusifia uongo kwa unafiki sina wivu mimi maana sipati faida yeyote nikiwa na wivu na sina cha kupoteza hata nisipo kuwa na wivu pia ila tuwe wakweli.
 
Nipo pande hiyo hiyo, kwani wewe umevaliaje?, Mimi nimevaa T-shirt na suluali nyeusi.
Yeah! Hata mie pia nimevaa T-shirt na suruali nyeusi ingawa weusi wake unafifia kutokana na vumbi la hapa
 
Yeah! Hata mie pia nimevaa T-shirt na suruali nyeusi ingawa weusi wake unafifia kutokana na vumbi la hapa
Mbona sioni mtu mwenye kushabiiana na Avartar yako maana wengi ni vibonge wa haja, Miss Bantu ama uendani na Avartar yako?>
 
Chonde chonde! Hizo nyumba hatutaki kusikia mambo ya expansion joint... Rais awe mkali kwa wajenzi sahvi...
Vipi nna swali? Wajenzi ni TBA au....

Ova
 
Ayaa... Namskia Lukuvi, et CCM oyee....😉, Kwenye shughuli ya kiserikali!🙂)😀
 
Mkuu unachangia kwa mihemko isiyokuwa na sababu.
Kwa mujibu wa katiba mtu mwenye uwezo pekee wa kumsamehe mfungwa ni RAIS na sio waziri.
Pili aliye shinikiza kwa vitendo Dodoma kuwa makao makuu ni RAIS.
Kwa hiyo kwenda kufungua miradi inayoharakisha azima yake ya serikali kuwa Dodoma,ubaya wake ni nini?
Kwa mtindo huu bhasi atazindua hata choo cha halimashauri, vyoo vya stand mpya, nyumba za mama ntilie na nk, pia sio Dodoma tu, labda huishi Tanzania, huyu alienda kuzindua daraja la furahisha🙂)
 
Huyu kazi zote anafanya mwenyewe [emoji16]
 
Huh, yuko live tena??? Kweli uzalendo vitendo na sio porojo, tukidai bunge live..... "oooh tunabana matumizi" kumbe ni unafiki na roho mbaya tu
 
Nimemshangaa Mrisho Mpoto anasifia hadi anapitiliza na anaweka na uongo tupo iyumbu hapa anaimba anasema kwa uzalendo wa MH SANA anajenga flyover kutoka DAR hadi MWANZA aisee huu unafiki wa watanzania ni wakiwango cha 100G maana kwa kujua watu wanapenda sifa basi wanasifia hadi uongo.
Ukweli utakuweka huru wakati wote.

Hao akina mpoto huwa wanawasifia matajiri mpaka wanawanunulia magari, sasa wameshamjulia huyo jamaa ni mwendo wa kumsifia. Usishangae akasema ndege zetu zimeachwa ila zinafanya safari zake huko huko nje hapa kinachokuja ni fedha za kigeni tu.
 
Hao akina mpoto huwa wanawasifia matajiri mpaka wanawanunulia magari, sasa wameshamjulia huyo jamaa ni mwendo wa kumsifia. Usishangae akasema ndege zetu zimeachwa ila zinafanya safari zake huko huko nje hapa kinachokuja ni fedha za kigeni tu.
Na kweli maana!
 
Naunga mkono Rais kuzinduwa nyumba hizi.

Lakini azikaguwe na awaulize bei za hizo nyumba ninaamini atazimia.

Tunamsubiri azinduwe na zile za Pspf kule Buyuni Chanika, ule ni wizi na ujambazi wanafanyiwa Watanzania, nyumba ya millioni 20 Mtanzania anakamuliwa millioni 80, na ukikopa riba inafika millioni 200.

Mheshimiwa Rais ukiweza kuwashughulikia hawa wahuni na mimi niandalie kadi ya kujiunga na ccm ya Magufuli.
waongezee mia mia kila mfuko- magufuli
 
Yeah! Hata mie pia nimevaa T-shirt na suruali nyeusi ingawa weusi wake unafifia kutokana na vumbi la hapa
Bod upo? Unaona jamaa anavypigwa makofi bila chenga. Duh! Tuwe tunamwomba MUNGU anatupa maneno ya kuongea jamani. Duh!

Anasema " Nimekuchapa kwa uwazi" Duh!
 
Magufuli anatema cheche kwa mkurugenzi wa nyumba. Mpaka aibu kumbe kuna madudu mengi ndani ya shirika ni balaaa
 
Back
Top Bottom