T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,170 Reaction score 3,067 Mar 28, 2023 #81 3 Angels message said: "Yaani nije nizikwe kabisa hapa kwa wagogo halafu waanze kuchezea hapo na fisi zao!" Mwendazake bana ha ha ha Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
3 Angels message said: "Yaani nije nizikwe kabisa hapa kwa wagogo halafu waanze kuchezea hapo na fisi zao!" Mwendazake bana ha ha ha Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Mar 28, 2023 #82 .... alitoa kauli hiyo takriban miezi mitatu tangu Tundu Lissu akoswekoswe kuuwawa; takriban miaka mitatu habla hajafa! Alikuwa ameandamwa na uvuli wa mauti wa kutisha sana.
.... alitoa kauli hiyo takriban miezi mitatu tangu Tundu Lissu akoswekoswe kuuwawa; takriban miaka mitatu habla hajafa! Alikuwa ameandamwa na uvuli wa mauti wa kutisha sana.