Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.

Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!

Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo, anayejulikana kama Abu Suhaib, anashikilia mateka wa Israel na ana mamlaka ya kura ya turufu juu ya mpango wa sasa wa kusitisha mapigano wa mjumbe wa Marekani, Steve Witkoff.

Wapatanishi wa kimataifa wanachukulia Al-Haddad kuwa kikwazo cha mwisho kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas.
I
 
Attachments

  • IMG_3106.jpeg
    IMG_3106.jpeg
    79.6 KB · Views: 28
Propaganda zako adhiwavunji moyo watetezi wa Utu wao na Ardhi yao kutoka kwa Wamizi kutoka Ulaya.. kifo utakiogopa ww Kondooo vile ujue unaenda wapi ukifa.
 
Mwambieni jamaa yenu aandike kabisa usia kwa ndugu zake siku zake zinahesabika Mbwa huyo!!
Acha upumbavu ww, unaogopa kufa Kwa kumtetea haki yako!!! Mbona tundu lissu yupo tayari kufa kumtetea mtanzania, wewe kidume unatia mashaka Kwa maelezo yako.
 
Mwachen jaman ataunguza chai, hamjui huyo kama kaolewa uko!!!
 
Acha upumbavu ww, unaogopa kufa Kwa kumtetea haki yako!!! Mbona tundu lissu yupo tayari kufa kumtetea mtanzania, wewe kidume unatia mashaka Kwa maelezo yako.
Mwambie aanze kutia maji kichwani kinyozi yuko tayari kumnyoa kipara!! Wewe ulice Mjinga na Mpumbavu unafikiri yeye ataachwa aishi kama nani? Kama tu Mastermind wa mauaji ya Oct 07,2023 Yahya Sinwar kauwawa na ndugu yake aliyechukua hicho kiti naye kauliwa kwa akili yako matope unafikiri yeye ndiyo watamuacha? Tumia akili yako vizuri mjinga wewe!!
 
Kwahiyo wanamgambo wa Hamas na viongozi wao bado wapo?
 
Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.

Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!

Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo, anayejulikana kama Abu Suhaib, anashikilia mateka wa Israel na ana mamlaka ya kura ya turufu juu ya mpango wa sasa wa kusitisha mapigano wa mjumbe wa Marekani, Steve Witkoff.

Wapatanishi wa kimataifa wanachukulia Al-Haddad kuwa kikwazo cha mwisho kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas.
I
wapo walikuwepo na wataendelea kuwepo,IDF waache wamalize silaha,mwishowe watumie mikuki na sime ila hao watendelea kuwepo hapo GAZA
 
Kosa sana walifanya wayahudi kwa kuwaachia Gaza magaidi hapo 2005 hawkupaswa kabisa. Hata hivyo sasa hivi Gaza kamwe haitakuwa mikononi mwa magaidi wa Hamas tena nyinyi endeleeni tu kujipa moyo!!
 
Allah hana msaada kabisa na waja wake amekaa tu kwenye pembe ya jehanamu amejikunyaka kama anasikoa baridi
 
Kosa sana walifanya wayahudi kwa kuwaachia Gaza magaidi hapo 2005 hawkupaswa kabisa. Hata hivyo sasa hivi Gaza kamwe haitakuwa mikononi mwa magaidi wa Hamas tena nyinyi endeleeni tu kujipa moyo!!
PM wa wakati huo alikua Ehud, right?
 
Back
Top Bottom