Mimi nahisi mateka wapo Iran. Sidhani kama wapo hapo gazaKufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.
Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!
Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo, anayejulikana kama Abu Suhaib, anashikilia mateka wa Israel na ana mamlaka ya kura ya turufu juu ya mpango wa sasa wa kusitisha mapigano wa mjumbe wa Marekani, Steve Witkoff.
Wapatanishi wa kimataifa wanachukulia Al-Haddad kuwa kikwazo cha mwisho kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas.
I
Tumwambie RIP mapema!Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.
Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!
Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo, anayejulikana kama Abu Suhaib, anashikilia mateka wa Israel na ana mamlaka ya kura ya turufu juu ya mpango wa sasa wa kusitisha mapigano wa mjumbe wa Marekani, Steve Witkoff.
Wapatanishi wa kimataifa wanachukulia Al-Haddad kuwa kikwazo cha mwisho kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas.
I
Tusubiri kifo chake hivi karibuni, in short, kachoka kuishi duniani....anataka kwenda motoni kufuata mabikra 72 wa mchongo. Kwa kweli Muddy ni firahuni, kadanganya watu wengi mno hapa duniani.Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.
Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!
Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo, anayejulikana kama Abu Suhaib, anashikilia mateka wa Israel na ana mamlaka ya kura ya turufu juu ya mpango wa sasa wa kusitisha mapigano wa mjumbe wa Marekani, Steve Witkoff.
Wapatanishi wa kimataifa wanachukulia Al-Haddad kuwa kikwazo cha mwisho kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas.
I
Ondoa kwanza makasiriko weka hoja mezani acha kubwabwaja ovyo!! Unalialia nini?Jamaa linapropaganda. Kiss bibilia imesema Israel ni watu wa Mungu linakua ni Israel Hawa wauaji. Linaanza kuwapigania. Wakati Israel wao wanawatemea mate mapadre wa kiafrica, kuwatoa vizazi wa Ethiopia na pia na kuwafananisha wa Africa na manyani. Akiambiwa Israel ni taifa LA Mungu hata hafikrii ni kwanini mungu awape taifa wauaji. Jinga Sana. Africa Kuja endelea itachukua Muda Sana na hizi dini tulizoletewa za kutsngeneA in
Vidume IDF wakiona Hamas wanajikojolea. Wanaua tu watoto na wanawake. Mtoto mmoja vs "vidume 10 wenye silaha" labda vidume viliku....Another target uyo Gaidi akiingia tu kwenye Rada za vidume IDF atasamabaratishwa kama Bi Nusrah (hizbollah)
Jadili hoja,hizo bla bla zingine za mapishi unazoleta ni upungufu wa akiliKumpikia chai mumeo ni ujinga?
Mkuu Kwani kumkumbusha wajibu wake n kosa?Jadili hoja,hizo bla bla zingine za mapishi unazoleta ni upungufu wa akili
Tundu lisu anamtetea mtanzania kwenye nini ?Acha upumbavu ww, unaogopa kufa Kwa kumtetea haki yako!!! Mbona tundu lissu yupo tayari kufa kumtetea mtanzania, wewe kidume unatia mashaka Kwa maelezo yako.
Wapo humo humo Gaza, vilaza hawawezi kudecode cypher.Mimi nahisi mateka wapo Iran. Sidhani kama wapo hapo gaza
Huyu naye atapelekwa kuzimu akawe bikra kwa sheitwan baada ya kulewa mito ya pombeKufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.