Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

Mimi nahisi mateka wapo Iran. Sidhani kama wapo hapo gaza
 
Tumwambie RIP mapema!
 
Tusubiri kifo chake hivi karibuni, in short, kachoka kuishi duniani....anataka kwenda motoni kufuata mabikra 72 wa mchongo. Kwa kweli Muddy ni firahuni, kadanganya watu wengi mno hapa duniani.
 
Jamaa linapropaganda. Kiss bibilia imesema Israel ni watu wa Mungu linakua ni Israel Hawa wauaji. Linaanza kuwapigania. Wakati Israel wao wanawatemea mate mapadre wa kiafrica, kuwatoa vizazi wa Ethiopia na pia na kuwafananisha wa Africa na manyani. Akiambiwa Israel ni taifa LA Mungu hata hafikrii ni kwanini mungu awape taifa wauaji. Jinga Sana. Africa Kuja endelea itachukua Muda Sana na hizi dini tulizoletewa za kutsngeneA in
 
Ondoa kwanza makasiriko weka hoja mezani acha kubwabwaja ovyo!! Unalialia nini?
 
Another target uyo Gaidi akiingia tu kwenye Rada za vidume IDF atasamabaratishwa kama Bi Nusrah (hizbollah)
 
Another target uyo Gaidi akiingia tu kwenye Rada za vidume IDF atasamabaratishwa kama Bi Nusrah (hizbollah)
Vidume IDF wakiona Hamas wanajikojolea. Wanaua tu watoto na wanawake. Mtoto mmoja vs "vidume 10 wenye silaha" labda vidume viliku....
 
Vidume IDF wakiona Hamas wanajikojolea. Wanaua tu watoto na wanawake. Mtoto mmoja vs "vidume 10 wenye silaha" labda vidume viliku....
Wahi haraka Milembe hospitali ukatibiwe maana naona Dish limeyumba sana!!
 
Hamas Bado hawajatoa taarifa kama hiyo hivyo Muhammad Sinwar Bado ni kiongozi wa Hamas
 
vile tutashangilia kichwa kikishaliwa
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu naye atapelekwa kuzimu akawe bikra kwa sheitwan baada ya kulewa mito ya pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…