Izzo B na Bella bonge moja la ngoma

Izzo B na Bella bonge moja la ngoma

Ukweli wacha usemwe,Izzo kinacho mbeba ni muonekano Body,anajua kupangilia pamba,msafi but kwenye ishu ya music mmmhhhhh sio kivile saaanaaa,mashairi yake butu,melody zake hazivutiagi....nilimuelewa vizuri kwenye "Naongea na Riz1".kwingine kote anapitA pitA tu basi maisha yanaenda.
mkuu kuna izzo wa love me,aseee napo hujamwelewa.
 
-Huyu mrembo ni mzuri.
-Sauti yake sijui niifananishe na nani?
-Kifupi demu kaitendea haki chorus
-Nyimbo iko poa sana na izzo business verse ya pili na mwisho kabisa umefanya rap makini sana bado kidogo Abela akufunike kwenye song.
sahihi mkuu mwenyew nimependa verse ya pili kafanya kweli ase.
 
Ngoma mbovu.

Tuwe wa kweli....Izzo aache kuimba na huyo Demu..aweke mapenzi kando afanye muziki.

Nyimbo zote alizoimba na huyo Demu zimebuma...Ngoma kali ya mwisho kutoka kwa Izzo ni ile shemeji shukurani kwa uwepo wa G.Nako na Mwanafa.
 
Mr. Xmass a.k.a Dangerous Boy aongee tena na RizOne.

Izzo ni kipaji, Izzo sio mazabe. Ila kwenye hii ngoma yake mpya kazingua.

-Kaveli-
 
ngoma imesimaa ila style yake ya mwanzoni ndo nzuri zaidi abaki kurap bhana
 
Hakuna ubunifu wowote.....

Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.

Huyu sio Izzo ninaemjua...
Uki tu beep tunakupigia
Acha maneno weka muziki
 
Izzo mimi nowdays naona kama anapotea tu, na mwili unakuwa mkubwa, afadhali dangerous boy. Kuliko hii, amechana kitoto sana kwenye hii ngoma.
Labda video ndio nzuri lakini sio wimbo.
 
Back
Top Bottom