NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Tulimpenda Enzi za ridhiwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kuna izzo wa love me,aseee napo hujamwelewa.Ukweli wacha usemwe,Izzo kinacho mbeba ni muonekano Body,anajua kupangilia pamba,msafi but kwenye ishu ya music mmmhhhhh sio kivile saaanaaa,mashairi yake butu,melody zake hazivutiagi....nilimuelewa vizuri kwenye "Naongea na Riz1".kwingine kote anapitA pitA tu basi maisha yanaenda.
sahihi mkuu mwenyew nimependa verse ya pili kafanya kweli ase.-Huyu mrembo ni mzuri.
-Sauti yake sijui niifananishe na nani?
-Kifupi demu kaitendea haki chorus
-Nyimbo iko poa sana na izzo business verse ya pili na mwisho kabisa umefanya rap makini sana bado kidogo Abela akufunike kwenye song.
Hivi WCB wana ubunifu gani?Hakuna ubunifu wowote.....
Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.
Huyu sio Izzo ninaemjua...
Nilijua peke yangu. Nyimbo nzima nimebaki kusubiri japo saut ya bellaHapo kwenye bella fanya ku edit hiyo ngoma ni ya -Izzo Bizness & Abela-"UMENIWEZA "
Weka bundle umsikie Izzo tunaemjua ...
Wasanii wengi wanadrop ,hasa wanao rap. Sasa sielewi ni singeli au WCB ndo imewavuruga.
Uki tu beep tunakupigiaHakuna ubunifu wowote.....
Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.
Huyu sio Izzo ninaemjua...
Hdi leo bdo nasikiliza hiyo nymbo ni ya 2013 kali sana hyo ndo good music inaitwa haichujiumesahau ile waliimba na barnaba- inaitwa love me kama sijakosea ni nzuri sana
Labda kuweka matarumbeta kwenye beat za nyimbo zao kama tupo kwenye harusi.Hivi WCB wana ubunifu gani?
Mhhh una roho mbaya