Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa mpaka sasa hivi hii thread inasubiri nini kutolewa. Mods am so dissappointed in u!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
We mbwa !
Jiwe haliumbi mbwa kama wewe ! Bali ni Allah SWT
Qur'an: 2:255.
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Acha unafiki na chuki binafsi dhidi ya uislamu nguchiro wewe!!Hivi unahotuba zote za kikwete alizotoa anapokwenda kutembelea vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini? Huwa hatoi kauli hiyo hii ndiyo imekuwa mara ya kwanza kwa MUM?
Hivi ikipita siku bila kukashifu uislam masaburi yanakuwasha sana eenh? Hebu grow up fikira zako zisiendeshwe na chuki zilizokujaa kwenye kichwa chako, Nyambafffff!!!!![/QUOTE]
waislamu kwa kutukana huyu naye utakuta ustaadh dini nyingine.......kazi kweli kweli.
Ndugu yangu mbona umeandika mengi sana! Tumia lugha ya staha...ushuzi ni kitu gani? Ndiyo mafundisho yenu?? Jipange upya harafu njoo kivingine
Jumaa Kareem
sasa kuna tofauti kati ya allah na jiwe la kaaba.. alafu allah wenu anakaa na shetani jirani yule mnayempiga mawe.We mbwa !
Jiwe haliumbi mbwa kama wewe ! Bali ni Allah SWT
Qur'an: 2:255.
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Ally Kombo kama ungejua kuwa Mungu ni roho: yohana 4:24 (amesema yesu mwenyewe)Wewe kanunue ile picha mungu kapakatwa na mama. Yake anataka kunyonyeshwa !
kwa kuwa huko mfumo uliwasahau, orodhesha vyuo vilivyopo nchini na mikoa vinapotokea utajua, kwa nini mtwara wamegomea gesi hata hili huelewi acha kujifanya hamnazo
niko nasoma kitabu cha Satanic verses, ostaz Moud anasema baadhi ya aya katika Quran, mfano 53, alidanganywa na shetani. Unasemaje Ally Kombo?
Hakuna chuo kikuu bora tanzania kwa maadili kama muslim university of morogoro..acheni unafiki na chuki!
Hapa ndipo uwezo wako wa akili ulipoishia
Hakuna wa kukulaumu
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?
Kwanini mkiambiwa ukweli mnalalamika eti mnaonewa. Kwanza ni chuo cha ubaguzi, kama kingekuwa chuo cha kanisa halafu kinabagua wsislam, mngeandamana na kutuchomea makanisa. Pili mmepewa bure chuo kilichojengwa na kodi za watz wote huoni mnapata upendeleo wakati sisi tunajenga wenyewe.