eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 139
Zero University of Morogoro
Ha ha! Nilidhani ghafla tunazungumzia kinywaji cha ile familia tajiri ya Kimarekani.
Mkuu naomba maana ya "ZERO" maana naona na Coca-Cola wameleta "ZERO Coca-Cola" inawezekana ikawa na maana zaidi ya ile tuijuayo?