J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Zero University of Morogoro

Ha ha! Nilidhani ghafla tunazungumzia kinywaji cha ile familia tajiri ya Kimarekani.

Mkuu naomba maana ya "ZERO" maana naona na Coca-Cola wameleta "ZERO Coca-Cola" inawezekana ikawa na maana zaidi ya ile tuijuayo?
 
Daah! hii mimi huwa inaniacha hoi sana!

umeona eeh! Hawa jamaa ukimya wetu wanatuona wajinga. Verse 53 ya Qu'ran mbona ilibadilishwa? Satanic verse, eti mtume anasema shetani alinidanganya. Mambo yote Jesus bana
 
Mtume huyo huyo alioa wake zaidi ya kumi halafu akaweka sheria waoe wanne tu! Akiwepo Aisha wa miaka 9, na mateka wa vita. Wajane kibao kwenye wake zake
 
HONGERA CHUO CHA MUM KWA KUTAKA KUFUNGUA MATAW HUK KILWA........watakuw wamesaidia

haaswa mufti! Asalaam aleiyka. SAUT, st. John's na Tumaini wamebadili sheria zao, lazima mvae rozari na kuimba mapambio ya Yesu
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

Mikakati ya kuongeza madrasa zenye kutoa degree....tehe tehe tehe!
 
'Mbwa wa manzese'
Wasio na reasoning ni wale wanao wekewa picha ya mungu mtu kawambwa mtini, kisha wakaambiwa mungu kapigwa na watu wake.
Yenyewe yanaitikia aimeeen !

Punguza jazba bi mkubwa, kuna mambo huwezi kuyakanusha kwa matusi. Hata ukiwa mkali kiasi gani huwezi kubadili ukweli kwamba katoto ka miaka 9 kaliingiliwa na baba mtu mzima na hadi leo mnaitikia AMEN.

Hii dhambi haitaacha kuwaandama, mtoto yule madoli alikuwa hajaachana nayo. 'Nguruwe wa Kibororoni'
 
HONGERA CHUO CHA MUM KWA KUTAKA KUFUNGUA MATAW HUK KILWA........watakuw wamesaidia

Ubavu wa kujenga vyuo vya ilim dunia wenyewe wanao?

Hawana culture ya kuchangishana kwa maendeleo hawana hata nyumba za ibada zinakuwa ni msaada kutoka nje au tajiri mmoja kaamua kujenga, Gaddafi waliyekuwa wanamtegemea hayupo.
 
Wewe ndio umemuelewa vibaya jk,si kweli kuwa morogoro university wako poor academically!!@ntamaholo
 
waacheni na chuo chao cha umaamuma,lakini TCU wamekikubali basi muwaache,na nyie endeleeni na vyuo vyenu,sion tatizo ila chuki tu ndo zinazowasumbua

mkuu TCU hawapeleki wanachuo pale! Acha uongo, bodi ya mikopo ndo wanaitambua
 
Ubavu wa kujenga vyuo vya ilim dunia wenyewe wanao? Hawana culture ya kuchangishana kwa maendeleo hawana hata nyumba za ibada zinakuwa ni msaada kutoka nje au tajiri mmoja kaamua kujenga, Gaddafi waliyekuwa wanamtegemea hayupo.

acha udini maneno yako sio mazuri gata kidogo!
 
Punguza jazba bi mkubwa, kuna mambo huwezi kuyakanusha kwa matusi. Hata ukiwa mkali kiasi gani huwezi kubadili ukweli kwamba katoto ka miaka 9 kaliingiliwa na baba mtu mzima na hadi leo mnaitikia AMEN.

Hii dhambi haitaacha kuwaandama, mtoto yule madoli alikuwa hajaachana nayo. 'Nguruwe wa Kibororoni'

tehe tehe! Ally Kombo kakimbia kutafuta kashfa
 
Last edited by a moderator:
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

elimu ipo chini so wanataka kuwazindua wakazi wa huko.
 
elimu ipo chini so wanataka kuwazindua wakazi wa huko.

Elimu ipi iko chini katika maeneo hayo,ya dini ama elimu dunia?

Huwezi kunyanyua kiwango cha elimu kwa kujenga ama kuanzisha vyuo vikuu, walipaswa kwanza kufocus kwenye elimu ya msingi na sekondari ili baadae wapatikane wa kudahiliwa kwenye hivyo vyuo.

Watu wa maeneo hayo hususan Lindi na Mtwara, hitaji lao ni kuimarishwa na kuboreshwa elimu ya msingi na sekondari kwani wako nyuma sana.

Mazingira ya shule duni, vifaa vya kufundishia na kujifunzia hakuna, hakuna makazi bora ya walimu, maji na huduma nyingine za kijamii ni duni.

Walimu wakipangowa huko wengi wao hawaendi kutokana na ugumu wa maisha.

Laiti ka ma kweli lengo ni kuwasaidia kuinua kiwango cha elimu, walipaswa kwanza kuwekeza kwenye kutatua changamoto hizo kwanza (kwa kushirikiana na serikali).
NI MTAZAMO TU LAKINI!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom