J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Nashangaa mpaka sasa hivi hii thread inasubiri nini kutolewa. Mods am so dissappointed in u!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nashangaa mpaka sasa hivi hii thread inasubiri nini kutolewa. Mods am so dissappointed in u!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

umeripoti? Muda wa kuona mpuuzi kama Ally Kombo anatukana ukristo na dhihaka kwa Yesu Kristo si kimya hapana. Akirusha dongo, nitajibu kwa satanic verses
 
Last edited by a moderator:
Humu majuha wengi sana mlitaka awashauri nini zaidi kuhusu elimu mawazo yenu ubwabwa nazi mahqrage
 
mimi nawaombea wajitanue zaidi, labda kelele za kulalamika kuwa wanaonewa zitapungua.
 

mkuu hayo maneno ambayo nilitegemea hata wewe ungealikwa kuzungumza ungelisema pia sijaona kipya hapo mkuu.
 
 
Ndugu yangu mbona umeandika mengi sana! Tumia lugha ya staha...ushuzi ni kitu gani? Ndiyo mafundisho yenu?? Jipange upya harafu njoo kivingine

Jumaa Kareem

waislamu bila kutukana hawawezi tetea hoja usiombe ubishane nao.
 
We mbwa !
Jiwe haliumbi mbwa kama wewe ! Bali ni Allah SWT
Qur'an: 2:255.
sasa kuna tofauti kati ya allah na jiwe la kaaba.. alafu allah wenu anakaa na shetani jirani yule mnayempiga mawe.

usinitukane lakini ustaadh.
 
Kwa kuwa huko mfumo uliwasahau, orodhesha vyuo vilivyopo nchini na mikoa vinapotokea utajua, kwa nini mtwara wamegomea gesi hata hili huelewi acha kujifanya hamnazo

Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
 
Wewe kanunue ile picha mungu kapakatwa na mama. Yake anataka kunyonyeshwa !
Ally Kombo kama ungejua kuwa Mungu ni roho: yohana 4:24 (amesema yesu mwenyewe)
2. ukajua aliyezaliwa ni yesu mwanadmu na si Mungu, Yesu kama Mungu(roho) alikuwepo milele yote hakuumbwa yohana 1
3. inabidi uijue kazi ya Yesu(mwanadamau) 1 Timotheo 2:5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;

4. Yesu kama Mungu(roho) ni alfa na omega ufu 22:13
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa huko mfumo uliwasahau, orodhesha vyuo vilivyopo nchini na mikoa vinapotokea utajua, kwa nini mtwara wamegomea gesi hata hili huelewi acha kujifanya hamnazo

hakuna mfumo uliowasahau, hizo ni porojo tu za mitaani na kwenye vijiwe vya kahawa hasa kutoka kwa watu walioifilisika kimawazo na kifikra, walio naupeo mdogo wa kutafakari masuala nyeti. Tena wenye malengo yakuona watanzania tunagawanyika kwa dini zetu kwa maslahi yao na mabwana zao!
 
malumbano ambayo yahana tija...huku toni na tani za udongo wenye dhahabu kibao inasafirishwa nje na magogo toka huko huko mikoa ya kusini, haya tunaona safi, tunalumbana mambo ya kitotooooo!
 
niko nasoma kitabu cha Satanic verses, ostaz Moud anasema baadhi ya aya katika Quran, mfano 53, alidanganywa na shetani. Unasemaje Ally Kombo?

..............soma na Qur'an, the last revealation kisha uje na comments pia !............maana majibu ya Kitabu hicho yako ndani ya Qur'an, Kitabu kisicho na shaka na ni uongofu kwa 'wamchao Mwenyezi Mungu'
 
Hakuna chuo kikuu bora tanzania kwa maadili kama muslim university of morogoro..acheni unafiki na chuki!
 
Hapa ndipo uwezo wako wa akili ulipoishia
Hakuna wa kukulaumu

Siyo uwezo wa kufikiri ndio ukweli. Kuna jamaaangu yuko pale ni ziro kabisa kashindwa mitihani ya form 6 kama mara tatu hivi lkn kwa kutaka ziro brain wamemchagua kwa kutumia vyeti vyake vya grade III A.

Cha ajabu sasa, alipo rudi likizo kaja na pedo ya ukweli ndo ni kajua pale taaluma ni 0 bali dini ni 100% .

Kwa nini hamjiulizi kwa nini wengi pale hawalipiwi na bodi ya mikopo mgepata jibu ya kinacho andaliwa.
 

kwa hiyo kuna degree hiyo moja tu uliyoitaja ww?????
 

mbona hata sekondary ya mazengo imeuliwa na majengo kupewa kanisa na kugeuza kua st john university???...hata tumaini ya iringa yale majengo yalikua ya NMB ambayo ni serikali!..so kinakuuma nn waislam kupewa jengo la tanesco moro?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…