Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 Apr 22, 2013 #201 Mshirazy said: mbona hata sekondary ya mazengo imeuliwa na majengo kupewa kanisa na kugeuza kua st john university???...hata tumaini ya iringa yale majengo yalikua ya NMB ambayo ni serikali!..so kinakuuma nn waislam kupewa jengo la tanesco moro? Click to expand... Hivi Mazengo haikuwa ya Anglikan toka mwanzoni ila serikali ilitaifisha? correct me if am wrong.
Mshirazy said: mbona hata sekondary ya mazengo imeuliwa na majengo kupewa kanisa na kugeuza kua st john university???...hata tumaini ya iringa yale majengo yalikua ya NMB ambayo ni serikali!..so kinakuuma nn waislam kupewa jengo la tanesco moro? Click to expand... Hivi Mazengo haikuwa ya Anglikan toka mwanzoni ila serikali ilitaifisha? correct me if am wrong.
da muft hamisi Senior Member Joined Oct 5, 2012 Posts 105 Reaction score 6 Oct 2, 2014 #202 Inshaallah M/MUNGU awape wepesi wa kufanikiwa kwa kuongeza matawi...
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Oct 2, 2014 #203 KASEHUYE said: Chuo cha kisenge sana hicho Click to expand... acha matusi.