Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hivi Mazengo haikuwa ya Anglikan toka mwanzoni ila serikali ilitaifisha? correct me if am wrong.mbona hata sekondary ya mazengo imeuliwa na majengo kupewa kanisa na kugeuza kua st john university???...hata tumaini ya iringa yale majengo yalikua ya NMB ambayo ni serikali!..so kinakuuma nn waislam kupewa jengo la tanesco moro?