J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka.

Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?
 
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?

kuna tatizo gani? Kwani kuwa kasisi forever kuna tatizo! Huna point...ushauri wako hatuutaki
 
Una propagate Udini ndugu yangu wewe huna ndugu mwisilamu kwenye koo yenu? Alafu wengi (hasa wakristo) hutoa kejeli,masikhara,na ushuzi pale post inayohusu maendeleo ya waislam ikiwa hapa JF "udini hautaisha kama watu kama nyie mtaendeleza haya matapishi"

Waislam wasiposoma eti wajinga, wanaosoma mnawaponda sasa kwa hali hii unatengea nini? Waki react eti magaidi ila kutwa kucha hapa JF ni kuutukana uislam na waislam bila hoja zozote ila CHUKI na UDINI

Ndugu yangu mbona umeandika mengi sana! Tumia lugha ya staha...ushuzi ni kitu gani? Ndiyo mafundisho yenu?

Jipange upya harafu njoo kivingine

Jumaa Kareem
 
Wamshukuru Ben kwa kuwapa icho chuo wangeishia madrasa tuu hao
 
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Kujitanua MY FEET..... Subirini
 
If you are great thinker hii siyo topic ya kujadili bcoz inaleta mgawanyiko wa kdini ebu tutafute topic nyngne!!!
 
Hii ni mikoa strategical kwa chuo kama kile tena waangalie zaidi na maeneo kama Kigoma na Tabora, maeneo kama Mbeya au Rukwa waachane nayo siyo strategical

Mie nimeshangaa ! Ati wao ndo wanajua njia !
 
kuna tpic nying za kujadili lakin cyo hii.. Ebu tuichen abakinayo mtoa mada mwnywe.if u ar great thinker niunge mkono!!!
 
Ndugu yangu mbona umeandika mengi sana! Tumia lugha ya staha...ushuzi ni kitu gani? Ndiyo mafundisho yenu?? Jipange upya harafu njoo kivingine

Jumaa Kareem

We "mdini" tu! ndugu nadhani umefundishwa waislam ndo adui zako kiimani eti?
 
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?

Kwani wewe unapungukiwa nini kwa mtu kuwa imamu forever !?
 
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.

Great thinker,
Bado unawaza kuajiriwaa ??
Mmmmxxxxiiiuuueewwww ( sonyo )
 
Bora hiki chuo tukigeuze "the animal farm" ili tufuge n$*@r*:we. yaani wanafunzi wanaotoka pale ni hopeless. labda ni wazuri kwa korani.

Hilo linatosha, kuna kubwa kuliko hilo ?
Inakuwaje una Masters halafu unaomba kitu kilicho wambwa !
 
Inashangaza possible wafadhili kama Saudi Arabia wanataka tu kutoa misaada ya mafunzo na waalimu wa dini. MUM iwape vipaumbele wafadhili kwamba ni academics maana wakiwa university ya dini peke yake mchango wao kwa maendeleo ya nchi itakua hakuna.

Kwa jinsi ulivyo na roho mbaya hata hujipi muda wa kufikiri unacho andika!
We umechangia nini ?, zaidi umekalia ufisadi tu!
 
Sio kweli kwamba walinyimwa fursa ya kupata elimu, ila waliamua wenyewe kuipa kisogo elimu dunia kwa kuzama sana kwenye elimu akhera.
Hata kwenye hicho chuo elimu ya dini imepewa kipaumbele sana,that's why JK amewachana live.

Kuna Elimu inayopita Elim Akhera ?
Ndo maana mnanunua picha dukani kisha mnasema mungu !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom