Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,298
Kuna Elimu inayopita Elim Akhera ?
Ndo maana mnanunua picha dukani kisha mnasema mungu !
Sishangai mnavyolalamika kuwa wale wadini tofauti na yenu kuwa wanapendelewa, sababu mmejikita kwenye elimu ambayo haiwapi nguvu ya kushindana kwenye soko la ajira.
Wenzenu wametambua hilo na ndio maana pamoja na kufundisha elimu ya dini yao pia wameweka msisitizo kwenye elimu dunia!