Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?
Una propagate Udini ndugu yangu wewe huna ndugu mwisilamu kwenye koo yenu? Alafu wengi (hasa wakristo) hutoa kejeli,masikhara,na ushuzi pale post inayohusu maendeleo ya waislam ikiwa hapa JF "udini hautaisha kama watu kama nyie mtaendeleza haya matapishi"
Waislam wasiposoma eti wajinga, wanaosoma mnawaponda sasa kwa hali hii unatengea nini? Waki react eti magaidi ila kutwa kucha hapa JF ni kuutukana uislam na waislam bila hoja zozote ila CHUKI na UDINI
Kujitanua MY FEET..... SubiriniRais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Ili mladi tu na ww uonekane umepost kwa leo si ndioUmepanda daladala ya tandika hali ya kuwa unaenda tegeta
kuna mengine kuyabishia ni kujionyesha jinsi ulivyo mbishi.....umepanda daladala ya tandika hali ya kuwa unaenda tegeta
Hii ni mikoa strategical kwa chuo kama kile tena waangalie zaidi na maeneo kama Kigoma na Tabora, maeneo kama Mbeya au Rukwa waachane nayo siyo strategical
Wamshukuru Ben kwa kuwapa icho chuo wangeishia madrasa tuu hao
Ndugu yangu mbona umeandika mengi sana! Tumia lugha ya staha...ushuzi ni kitu gani? Ndiyo mafundisho yenu?? Jipange upya harafu njoo kivingine
Jumaa Kareem
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?
My comment has nothing to do with kuuma!Kwa hiyo inakuuma au ? ...wagalatia bana !
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Bora hiki chuo tukigeuze "the animal farm" ili tufuge n$*@r*:we. yaani wanafunzi wanaotoka pale ni hopeless. labda ni wazuri kwa korani.
Inashangaza possible wafadhili kama Saudi Arabia wanataka tu kutoa misaada ya mafunzo na waalimu wa dini. MUM iwape vipaumbele wafadhili kwamba ni academics maana wakiwa university ya dini peke yake mchango wao kwa maendeleo ya nchi itakua hakuna.
Sio kweli kwamba walinyimwa fursa ya kupata elimu, ila waliamua wenyewe kuipa kisogo elimu dunia kwa kuzama sana kwenye elimu akhera.
Hata kwenye hicho chuo elimu ya dini imepewa kipaumbele sana,that's why JK amewachana live.