Kuna Elimu inayopita Elim Akhera ?
Ndo maana mnanunua picha dukani kisha mnasema mungu !
We "mdini" tu! ndugu nadhani umefundishwa waislam ndo adui zako kiimani eti?
Graduates wake wengi wanaishia kuwa masheikh na Immams
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Hata JK hapungukiwi kitu kama angekaa kimya tu asiwashauri waisilamu kuwa na programme zenye ushindani, lakini aliona ni tatizo! The same to me, sipungukiwi kitu, but there is a problem!Kwani wewe unapungukiwa nini kwa mtu kuwa imamu forever !?
kuna tatizo gani? Kwani kuwa kasisi forever kuna tatizo! Huna point...ushauri wako hatuutaki
Sishangai mnavyolalamika kuwa wale wadini tofauti na yenu kuwa wanapendelewa, sababu mmejikita kwenye elimu ambayo haiwapi nguvu ya kushindana kwenye soko la ajira.
Wenzenu wametambua hilo na ndio maana pamoja na kufundisha elimu ya dini yao pia wameweka msisitizo kwenye elimu dunia!
Wahame pale kwenye mali ya umma na sio kujitanua kutoka pale
Huko uraiani kuna maimamu kibao ambao hawajahitaji kusoma hiyo Bachelor's degree, sasa you could take advantage of this resource kuwafundisha hao wasomi something else kitakachokuwa efficient
Sishangai mnavyolalamika kuwa wale wadini tofauti na yenu kuwa wanapendelewa, sababu mmejikita kwenye elimu ambayo haiwapi nguvu ya kushindana kwenye soko la ajira.
Wenzenu wametambua hilo na ndio maana pamoja na kufundisha elimu ya dini yao pia wameweka msisitizo kwenye elimu dunia!
Hata JK hapungukiwi kitu kama angekaa kimya tu asiwashauri waisilamu kuwa na programme zenye ushindani, lakini aliona ni tatizo! The same to me, sipungukiwi kitu, but there is a problem!
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?
heri hicho cha mum kuliko vile vyenu kwa muda wa miaka 50 vimetoa wahitimu ambao wana mawazo mgando wasiojua kutafakari ambao wanategemea kuamuliwa maswala yao kutoka nje.Zero University of Morogoro
Ungefundishwa elimu ya dini ungenunua picha ya mungu dukani !?
Mmeghafilika nyie !
Wale wanaosoma vile vitu mnaita Theologia na Liturugia na ile Elimu ya Dr Slaa huwa wanaishia kufanya kazi gani ?
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Sawa mkuu wewe ndio mwenye roho nzuriKwa jinsi ulivyo na roho mbaya hata hujipi muda wa kufikiri unacho andika!
We umechangia nini ?, zaidi umekalia ufisadi tu!