Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #21
Tusamehewe sie, kwaweli.Tumekosa sisi, tumekosa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusamehewe sie, kwaweli.Tumekosa sisi, tumekosa sana.
Hapo sasa yani hawa, UTOAcha usukule wewe . Kabla ya mechi mlisema simba atapigwa 4. Sasa huo ubovu umetoka wapi?
😂🤣😂🤣Bocco karogwa na misukule Kupitia msukule wao mkuu.
Allah atujaalie subra wapenz na mashabiki wa chama kubwa SimbA sports ClubNa hii ndio maana halisi ya subra..je viongozi wangechukua jukumu la kumtimua? Kwenye mpira kinachotokea kwa boko ni vitu vya kawaida..
Sana mkuu,Boko kaupiga mwingi
Wapi na liniWakati wewe ulimzodoa pia
Nyie ndio mashabiki kalimati...tuliwaambia hapa ,kuwa hata kwenye maisha kina up and down ...hao wafungaji wanaonhoza mwana magoli -10,Boko anaweza kuja kuwapita!Emmanuel Boco nisamehe mimi,nisamehe mimi,nisamehe nimekosa sana.
Nahamishia mzigo kwa Mugalu,Mugalu afai ni mzigo kwa timu msimu ukiisha asepe adha waiz abadilike.
Wanaomzodoa ni mashabiki wa Uto na hao ndio wanaompiga misumari yeye na Mugalu ili wasifunge wazidi kuivuruga Simba.Ila Bocco Kasemwa sana.
Anamoyo kwakweli Akiingia wote Wana Mzodoa Lakini Haonyeshi Sura ya Kukata tamaa.
Kunamuda nilikuwa naumia Akikosa Nafasi yakufunga goli na Najaribu hadi kumuombea walau Afunge hata moja
Andika vizuri ueleweke.Nyie ndio mashabiki kalimati...tuliwaambia hapa ,kuwa hata kwenye maisha kina up and down ...hao wafungaji wanaonhoza mwana magoli -10,Boko anaweza kuja kuwapita!
Badala ya kumzomea tunatakiwa kimtia Moto ...Mtu aliyecheza Mpira Miaka 14 kwa kiwango Bora hawezi kukatika ghafla
naona ushahidi kwamba nimesema hivo .Acha usukule wewe . Kabla ya mechi mlisema simba atapigwa 4. Sasa huo ubovu umetoka wapi?
Mimi Bado nina imani kubwa juu ya J.R. Bocco atafanya makubwaSalaam wanamichezo,
Ni zaidi ya mechi kumi sasa 'captain fantastic' John Rafael BOCCO amedorora na mpaka kuonesha kiwango kama alichokionesha leo🤝,
Nampongeza sana na kwa niaba ya WanaMsimbazi napenda kumpa moyo na afanye zaidi ya alivyofanya Leo.
Napenda pia kuwaambia mashabiki wa SimbA SC ya kuwa mechi hizi za kimataifa, zitatupa nguvu, kujiamini vya kutosha sana.
Vilevile nalaani vitendo vya vurugu michezoni. (mpira sio uadui)
ZINGATIO: Mnasemaje UTO kuhusu 'penalty' ya leo ?!
Karibuni kwa maoni, naruhusu mkwazano na makasiriko, povu rukhsa 'duvet' langu chafu.
Wewe ni shabiki kalimati,ulikuwa kimbele2 kumshambulia Boko hapa!Andika vizuri ueleweke.
Unapuyanga maneno tu hata aueleweki ameandika nini!
Una kadi yake ya Clinic ?!Mechi Moja Tu Tayari Mmeamini.
Consistency Haipimwi Kwa Mechi Moja Nyie Watu Amkeni Toka Usingizini Yule Ni Mzee.
Sawa,ni mzee lakini has5ahili dharau toka kwa watu wenye afya njema ya akili!Mechi Moja Tu Tayari Mmeamini.
Consistency Haipimwi Kwa Mechi Moja Nyie Watu Amkeni Toka Usingizini Yule Ni Mzee.
Embu nambie wewe ni timu gani zenye presha ya mashabiki mchezaji akishuka kiwango na akaboronga uwanjani wanakaa kimya?Wewe ni shabiki kalimati,ulikuwa kimbele2 kumshambulia Boko hapa!
Lakini sishangi ukiwa ni CCM wewe ni Utopolo tu,hata iweje!
Mechi ya pili hii,Mechi Moja Tu Tayari Mmeamini.
Consistency Haipimwi Kwa Mechi Moja Nyie Watu Amkeni Toka Usingizini Yule Ni Mzee.