J R Bocco, Tusamehe sisi, Tusamehe sisi, Tusamehe sana

Na hii ndio maana halisi ya subra..je viongozi wangechukua jukumu la kumtimua? Kwenye mpira kinachotokea kwa boko ni vitu vya kawaida..
Allah atujaalie subra wapenz na mashabiki wa chama kubwa SimbA sports Club
 
Emmanuel Boco nisamehe mimi,nisamehe mimi,nisamehe nimekosa sana.

Nahamishia mzigo kwa Mugalu,Mugalu afai ni mzigo kwa timu msimu ukiisha asepe adha waiz abadilike.
Nyie ndio mashabiki kalimati...tuliwaambia hapa ,kuwa hata kwenye maisha kina up and down ...hao wafungaji wanaonhoza mwana magoli -10,Boko anaweza kuja kuwapita!
Badala ya kumzomea tunatakiwa kimtia Moto ...Mtu aliyecheza Mpira Miaka 14 kwa kiwango Bora hawezi kukatika ghafla
 
Ila Bocco Kasemwa sana.

Anamoyo kwakweli Akiingia wote Wana Mzodoa Lakini Haonyeshi Sura ya Kukata tamaa.

Kunamuda nilikuwa naumia Akikosa Nafasi yakufunga goli na Najaribu hadi kumuombea walau Afunge hata moja
Wanaomzodoa ni mashabiki wa Uto na hao ndio wanaompiga misumari yeye na Mugalu ili wasifunge wazidi kuivuruga Simba.
 
Andika vizuri ueleweke.
Unapuyanga maneno tu hata aueleweki ameandika nini!
 
Mimi Bado nina imani kubwa juu ya J.R. Bocco atafanya makubwa
 
Andika vizuri ueleweke.
Unapuyanga maneno tu hata aueleweki ameandika nini!
Wewe ni shabiki kalimati,ulikuwa kimbele2 kumshambulia Boko hapa!
Lakini sishangi ukiwa ni CCM wewe ni Utopolo tu,hata iweje!
 
Mechi Moja Tu Tayari Mmeamini.

Consistency Haipimwi Kwa Mechi Moja Nyie Watu Amkeni Toka Usingizini Yule Ni Mzee.
 
Wewe ni shabiki kalimati,ulikuwa kimbele2 kumshambulia Boko hapa!
Lakini sishangi ukiwa ni CCM wewe ni Utopolo tu,hata iweje!
Embu nambie wewe ni timu gani zenye presha ya mashabiki mchezaji akishuka kiwango na akaboronga uwanjani wanakaa kimya?

Hata Sakho akicheza kwenye ubora kwa misimu kumi ila ikitokea msimu wa kumi na moja tu akavurunda mashabiki watamsakama.ndo mashabiki wa soka walivyo sio bongo tu hata ulaya huko.
Harry Maguire katoa boko mechi moja tu chamoto kakiona kutoka kwa mashabiki ndo iwe kwa Boco!
 
Sio kwamba Bocco karudi kwenye kiwango bali ni backup waliopewa wachezaji wa Simba ndio iliyomfanya nae aonekane mtu mbele za watu. Bila backup hakuna wachezaji wa maana pale labda Sakho pekee.. waliopo kwenye kitengo cha umafia wanajua mbinu na mikakati iliyotumika nje ya uwanja. Na nilisema hili kabla ya mechi kuhusu Bocco atabadilishwa kuwa kama Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…