Kwanini una mawazo hasi?
Huamini kuwa kuna ndoa zenye Furaha? Tofauti za kimaisha zipo tu hata kwa mapacha.
Frequency ilikata nilivyoona hiyo J mama angu
...bebi bhana ...sio mimi ...mambo vipi lknWewe ni Y bana......ingekuwa ni M......huu uzi ungegeuka juu chini.......maana ingekuwa ni my mtu chake najua.......ningeua mtu.......
Foolish thread.
Wivu.....
Wivu! for what!?
Eeh..uko fasta! For their wonderful love
Ila kwenye bao siko fasta ujiandae!!:-D B-)
Ohooo nitakukimbia mana mimi napenda la fasta:A S wink:
Mimi siyo kuku mpendwa!!
Hahahaa bas ngoja mi nikatafute kuku
Acha ubahili wa utamu wewe mwanamke.
Tatizo umesema unakesha
Hakuna mkesha ila ni kukufikisha kwenye kilele tu.
Utanichelewesha mimi nafika fasta then naendelea na mambo mengine
Basi sawaa, nimekubali masharti.
Now u'r talking