J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

Ndio maana huwa najiuliza kwanini penzi letu uliliua wakati likiwa bado linanyonya??

Ni ani huyo aliyekudanganya nimloge?
Hahahaa yupo humu ngoja akipita hapa utamjua... Ila soon ntarudi kwako ntuanze upya malovee nikichoka tena ntasonga mbele
 
Penzi jipya lina raha yake,asikwambie mtu! Tabu ni pale mnapozoeana vya kutosha, huyo J wako utamwona wa kawaida sana.Anyway kila la heri bibie
Uliyoyasema ni kweli mkuu,nakumbuka atoto aliwahi kusema penzi changa linaweza kukufanya kichaa!...lol
 
Hahahahahahaa Asprin katika ubora wake.
Kuna njiwa nlimtuma akuletee salamu zangu... niambie kama hukuzipata leo nimfanye kitoweo.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha rasmi kuwa muda si mrefu kuna jambo zuri litatokea kati yetu.
 
Uliyoyasema ni kweli mkuu,nakumbuka atoto aliwahi kusema penzi changa linaweza kukufanya kichaa!...lol
Na wewe ukaingia kingi? Sijawahi kuona atoto akiwa na penzi changa. Yeye kila siku anapasha viporo vya michepuko yake.

Tafazali usijemwambia, sitaki ugomvi na ex wangu.
 
Watu na bahati zao toka shule hili somo la kupendwa nilikuwa napata jina na utani la mh waziri mkuu msataafu.Hongera sijui nani vile ila na siku mkiachana iwe kwa kukashifiana au ile aah hukuwa mbaya kwangu ila tumeshindwa kuwa pamoja pia mje mtuambie.
 
Mapenzi matamu sana pale unapopata akupendayeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…