brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Raha ya penzi changa... Hatarii huambiwi husikii...Penzi jipya lina raha yake,asikwambie mtu! Tabu ni pale mnapozoeana vya kutosha, huyo J wako utamwona wa kawaida sana.Anyway kila la heri bibie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha ya penzi changa... Hatarii huambiwi husikii...Penzi jipya lina raha yake,asikwambie mtu! Tabu ni pale mnapozoeana vya kutosha, huyo J wako utamwona wa kawaida sana.Anyway kila la heri bibie
Raha ya penzi changa... Hatarii huambiwi husikii...
Ndio maana huwa najiuliza kwanini penzi letu uliliua wakati likiwa bado linanyonya??Raha ya penzi changa... Hatarii huambiwi husikii...
Hahahaa yupo humu ngoja akipita hapa utamjua... Ila soon ntarudi kwako ntuanze upya malovee nikichoka tena ntasonga mbeleNdio maana huwa najiuliza kwanini penzi letu uliliua wakati likiwa bado linanyonya??
Ni ani huyo aliyekudanganya nimloge?
Khaaaa.................!!!!!!!!!!!Hahahaa yupo humu ngoja akipita hapa utamjua... Ila soon ntarudi kwako ntuanze upya malovee nikichoka tena ntasonga mbele
Jkonda wa bodaboda.Mmmh........ngoja niangalie members wanaoanziwa na J...
Mimi pia nimeshtuka.. na hiyo J ni herufi ya kwanza ya jina lake la ukweliHiyo J imenistua lol
Haa! Hebu tuambizane vizuri lolsMimi pia nimeshtuka.. na hiyo J ni herufi ya kwanza ya jina lake la ukweli
Shosti..inawezekana mimi na wewe ni wake wenza hatujijui. Ha ha haaaHaa! Hebu tuambizane vizuri lols