[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji106] , JF , ukiona umechekeshwa basi na ww usiwe mchoyo wa kuchekesha, kwa namna yyt.basi inatosha...ila naomba kati yasifa nilizotaja..usiwe nayo hata moja
Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha)
Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume:
****Wafupi
****Wenye Vibamiaaaaaaa[emoji6]
****Wanene
****Wabaya
****Masikini
****Wenye Vitambi
****Weusi kama mimi
****Wasio na magari bali vyombo vya usafiri(mfano: vits,ist,passo, n.k)
Namwomba Mungu Awape maisha marefu
Waendelee kuchezewa na Ma-handsome wa mjini wala chipsi mayai na soseji changanya na mayonizee [emoji3][emoji3][emoji3]mpaka uzeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajikuta wanangalia vigezo vingi utafikiri wanaume Tumejiumba Wenyewe.....pumb*******fuuuuu.....!!
***Mnaudhi sana nyie akina: miss chagga Evelyn Salt miss nedy n.k n.k
Amen......Amen.......
Nikikukera leave mi alone [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ukimaind natuma tena
Maana hii ni copy tu original ninayo...ha ha ha....
Nakaribisha mapoooovuuuuu[emoji3][emoji3][emoji3]
unalingia kitu kisichoonekana(msalibobo_),?? bora kingekuwa kinaonekana wangetishika kidogo lakini ivo wanaweza kuhisi huna ko hawana muda na wewe kabsaMimi nalingia MSALIBOKO WANGU na TINTED ROOM KWENYE MOYO WANGU(true love) mdada asiyependa hivyo pita mbali na mimi.
Sawa..!unalingia kitu kisichoonekana(msalibobo_),?? bora kingekuwa kinaonekana wangetishika kidogo lakini ivo wanaweza kuhisi huna ko hawana muda na wewe kabsa
hahahaha ko umeamua kushindana nao, wao wanalingia misambwanda huku wewe unalingia msaliboko wako huhuhu mtaishia kulingiana ohoooUzuri mie siyo domo zege natupia verse akiingia king anapewa ukweli akipenda anajituliza kwenye mshelimsheli asipo mind akule kona.
Mmhsawa
bamdogo vipi tena mbona waguna
Ni ulivyoitikia hiyo sawa tu...kishingo upande mamdogobamdogo vipi tena mbona waguna
hamna bamdogo imetoka moyoni yaaan kiroho safiNi ulivyoitikia hiyo sawa tu...kishingo upande mamdogo
Hongera...punguzen kupinga missiles watu wapumuehamna bamdogo imetoka moyoni yaaan kiroho safi
teh waache kujishtukia tu huwaga hatuna lengo bayaHongera...punguzen kupinga missiles watu wapumue
Mfano wewe mamdogo unamwombaga mwanamme pesa?teh waache kujishtukia tu huwaga hatuna lengo baya
wala bamdogo siombi kabisa tena ni muoga na hela ya watuMfano wewe mamdogo unamwombaga mwanamme pesa?
Kwa hiyo haujawahi kumwomba BF wako pesa?wala bamdogo siombi kabisa tena ni muoga na hela ya watu
sio nawish kuhudumiwa n wajibu wa mwanaume sio mpk uombweKwa hiyo haujawahi kumwomba BF wako pesa?
Ila huwa unawish mwanaume anayekupenda akuhudumie!
Je upendo wako kwa mwanaume ni pamoja na kukuhudumia au huduma inamwongezea tu credit?sio nawish kuhudumiwa n wajibu wa mwanaume sio mpk uombwe