Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hermy B yupo E fm man ndio boss mpya pale majizo kamchukua. Kaondoka na Jabir na Bi Hindu.Nyaulawa Jr na Hermy hawana vision ya radio. Ushindani ni mkubwa sana na vyombo vya habari viko katika mpito wa mabadiliko. Hivyo mwenye nguvu na pochi kubwa ndio ataingiza pesa nyingi zaidi. Naikumbuka Times ya "Experience Africa".
Visingeli miyeyusho bob wacha vipigwe kwenye boda boda inatoshaAh mkuu visingeli vikitolewa efm radio gan itapiga visingeli.?
Hiyo mistari ni sos bHivi huyu ndo aliimbaga 'Mimi ni msela siwezi kwenda jela, mwanamke mweusi macho kama pusi'? Au namchanganya Na Sos B?
Hermy kwa sasa yupo E-FMNyaulawa Jr na Hermy hawana vision ya radio. Ushindani ni mkubwa sana na vyombo vya habari viko katika mpito wa mabadiliko. Hivyo mwenye nguvu na pochi kubwa ndio ataingiza pesa nyingi zaidi. Naikumbuka Times ya "Experience Africa".
Dullah swagga zake huwa namfananisha na Proverb presenter wa Channel O ya Afrika Kusini.
Mtu ana swaga za salama Jabir wewe unamfananishaje na Proverb?