we ndo ulimtuma mpk umuwekee.mara unafungwa ww.Naruhusiwa kumuwekea dhamana?
"Nlikuwepo":bolt:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ndo ulimtuma mpk umuwekee.mara unafungwa ww.Naruhusiwa kumuwekea dhamana?
"Nlikuwepo":bolt:
Macau ipo Hongkong? kama kitu hujui ni bora kuuliza.Duh! Habari mpya kutoka huko Hong Kong, China zinaeleza kuwa kama atapatikana na hatia ya kukamatwa na madawa ya kulevya unga, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff Jack Patrick atatumikia kifungo cha miaka kumi jela.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho kilikwenda kumtembelea Jack akiwa nyuma ya nondo baada ya kuruhusiwa kumuona tangu Machi mosi, mwaka huu, mwanamitindo huyo amekata tamaa na hana matumaini ya kutoka jela hivi karibuni.
Aisee Jack Cliff anatia huruma sana, hana matumaini ya kutoka hivi karibuni na ana maumivu ya kupitiliza, kilisema chanzo hicho.
Mpashaji huyo alizidi kuweka wazi kuwa Jack anasema kuwa kesi yake ni ngumu na endapo atapatikana na hatia, basi atakumbana na kifungo, si chini ya miaka kumi, jambo ambalo limemfanya kudondosha machozi kila kukicha huku akituma salamu nyumbani kwao Bongo.
Jack alikamatwa na unga kilo 1.1 huko Macau, Hong Kong mwezi Desemba, mwaka jana ambapo sasa kesi yake itaanza kuunguruma Septemba, mwaka huu.
Mumewe yuko wapi anioe mke mdogo mie??
Kumbe anabahati. Miaka Kami tu? Nilifikiri wanakata shingo.
Hivi, haruhusiwi kumtaja aliyemtuma? Kama atafungwa, huyo boss wa madawa atarecruit vijana wengine au sio?Vijana wataendelea kuangamia mpaka lini?
Kesi kuanza kuunguruma Sept parefu...........
halafu zile pic zilizozaagaa kuwa ametoka zilikuwa ni uongo!!!!!
Yupo jelaa anakula bataa
Hapana Dinazarde, Tiff alipata dhamana baada ya kukaa ndani takribani mwala mzima,yuko mtaani toka May 2013.
Zile picha aliweka jux